-->

Daily Archives: September 17, 2017

AliKiba Awashangaa Wanaompakazia Amekopi Se...

Post Image

Wakati Seduce me ikiendelea kukimbiza ambapo mpaka sasa imeweza kufikisha watazamaji milioni tano na kuahidi kuachia dude jipya endapo itafikisha watazamaji milioni kumi, Ali Kiba amewatolea povu watu wanaodai kuwa wimbo huo amekopi kutoka kwa jamaa huko ufilipino. “Kitu kizuri siku zote huwa kinapigwa mawe, wimbo huu ni wa kisasa ndio maana watu wanaongea sana […]

Read More..

Mbasha Avunja Ukimya

Post Image

Msanii wa muziki wa Injili bongo Emmanuel Mbasha, ameamua kuvunja ukimya juu ya tuhuma alizopewa za kutelekela watoto aliozaa na wanawake wotauti tofauti, na kusema habari hizo hazina ukweli wowote. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Emmanuel Mbasha amesema tuhuma hizo ni uongo na anachukia watu wanaotengeneza habari hizo, kwani yeye haitaji habari za […]

Read More..

Harmorapa Awananga Mzungu wa Harmonize, Wem...

Post Image

MSANII wa anayechipukia kwa kasi nchini kwenye miondoko ya Hip Hop, Harmorapa, amefunguka mengi juu ya mpenzi wa mwanamuziki mwenzake, Harmonize, anayefahamika kwa jina la Sarah na mpenzi wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Madam Wema Sepetu, akisema wote ni mabibi yaani watu wenye umri mkubwa. Akizungumza kuhusu mpenzi huyo wa Harmonize, alifunguka kwamba: “Mimi […]

Read More..

Tunda Afunguka Kutoa Mimba

Post Image

Mlimbwende Tunda ambaye ni gumzo kwenye mitandao ya kijamii kutokana na urembo wake, amekana taarifa za kutoa ujauzito ambao alionekana nao, na kusema hakuwa na mimba na hajawahi kupata ujauzito maishani mwake. Akizungumza na mwandishi wa East africa Television Tunda ambaye pia ni ‘video vixen’, amesema tumbo alilonalo lilikuwa ni kitambi kilichoongezeka kutokana na kunenepa, […]

Read More..