-->

Daily Archives: September 24, 2017

Lulu Diva Amkataa Nay wa Mitego Hadharani

Post Image

WAKATI mtaani kukiwa na hapa na pale kuhusu uwepo wa uhusiano Nay Wa Mitego na Lulu Diva, katika moja ya mahojiano na kituo cha habari, Lulu ametoa povu zito kwenda kwa Nay. “Nay hawezi kuwa type yangu hata siku moja na haijawahi na hawezi kuja kuwahi hata siku moja eti niwe na Nay,” “Kwanza hajawahi […]

Read More..

Diamond, Giggy Money na Wema Sepetu…

Post Image

Maisha yetu yapo kuligana na mawazo yetu. Furaha yako maishani inategemea na ubora wa mawazo yako. Huwezi kumuweka kwenye kundi la vijana mabishoo. Ni mtoto wa kihuni. Hajali. Na kutokujali kwake ndiko kulikomfikisha pale alipo. Kifupi hasikilizi wala hana hofu na watu watasema nini. Ogopa sana mtu wa hivyo. Ndiyo Diamond Platinumz. Kuna wakati unajiuliza […]

Read More..

Wasanii wa Singeli Wananiponda- Msaga Sumu

Post Image

Mfalme wa singeli nchini Tanzania, Msaga Sumu amefunguka na kudai wasanii wengi wa singeli wanatapotea katika muziki kwa sababu ya kutokuwa na heshima kwa watu wanaowazunguka kwenye kazi zao. Msaga Sumu amebainisha hayo kupitia kipindi cha FRIDAY NIGHT LIVE (FNL) kutoka EATV baada ya kupondwa kwa maneno makali kwa kipindi kirefu na wasanii wenzake huku wengine […]

Read More..

Alikiba Afurahia Kuwepo Coke Studio

Post Image

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba, amesema moja ya mafanikio ambayo anajivunia kwa mwaka huu ni kushiriki tena onyesho la Coke Studio. Kiba, ambaye amefanya kolabo na mwimbaji wa Nigeria, Patoranking, amesema kushiriki msimu huu wa tano wa Coke Studio kutamfanya aongeze idadi kubwa ya mashabiki. “Kushiriki katika onyesho hili linaloandaliwa na […]

Read More..

Mimi ni Demu wa Bei Kali Tukutane Mlimani C...

Post Image

IRENE Uwoya muigizaji wa filamu wa kike Bongo ametamba kuwa kipaji chake ni cha kipekee kwani yeye ndio msanii wa kwanza kuanza kuigiza na kutwa tuzo kama muigizaji bora wa kike mwaka 2008, tuzo zilizojulikana kwa jina la Vinara na hadi leo bado amekuwa bora katika tasnia ya filamu Bongo. “Ubora wangu umedumu toka kuingia […]

Read More..

Zari ampiga stop mtoto wa Hamisa urafiki wa...

Post Image

JUZI imetokea vita kali katika mtandao wa Snapchat huku Hamisa na Zari wakitupiana vijembe vya hapa na pale huku mwenza huyo wa Diamond akimshutumu mtoto wa Hamisa kwa kumfollow mwanaye Instagram. Hamisa aliandika “Am praying for twins now. Inshallah (a girl & a boy) would be perfect ” Tena akaandika, “Waambie walopanga…mwenye nyumba kaja ndani… […]

Read More..

New Music Video:Kikomando by Babbi

Post Image

Baada ya kusubiri kwa hamu msanii kutoka bongo @Babbi_music ameachia rasmi video yake mpya Kikomando iliyofanyika nchini Marekani link https://youtu.be/SXjYEYC1weg kwa bio yake @babbi_music itakupeleka direct kutazama video yake. Ni fireeeee.

Read More..

Diamond, Mobetto Waibua Mabifu ya Mastaa

Post Image

IMESHAFAHAMIKA kuwa Dylan au Abdulatif ni mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto, siri hiyo iliyofichwa kwa muda mrefu ilifichuliwa na Chibu Dangote mwenyewe katika mahojiano na moja ya redio kubwa nchini. Baada ya Diamond kuweka bayana ukweli wote mashabiki na watu maarufu mbalimbali nchini wamekuwa na maoni yao huku kila mtu akiwa […]

Read More..