-->

Daily Archives: September 22, 2017

Shetta Apata Mtoto wa Mwingine

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nurdin Bilal maarufu kwa jina la Shetta, ameonyesha urijali wake kwa kubahatika kupata mtoto wa pili aliyezaliwa leo. Kwenye ukurasa wake wa instagram Shetta amepost picha akiwa amebeba kichanga huku akiandika maneno ya kumkaribisha mtoto huyo duniani. “Karibu duniani mwanangu….!! Asante Mungu kwa huyu mwingine, sasa Kayla uache kuringa”, ameandika […]

Read More..

Alikiba anena Seduce Me kushindanishwa na Z...

Post Image

Wakati ngoma ya Alikiba Seduce Me imetoka ilikuwa ikipanishwa na ile ya Diamond/WCB ‘Zilipendwa’ hasa katika mtandao ya Youtube, lakini Alikiba amefunguka na kusema hakuwahi kufuatilia hilo kabisa. Wakati ngoma ya Alikiba Seduce Me imetoka ilikuwa ikipanishwa na ile ya Diamond/WCB ‘Zilipendwa’ hasa katika mtandao ya Youtube, lakini Alikiba amefunguka na kusema hakuwahi kufuatilia hilo […]

Read More..

Nilikuwa Kama ‘Demu’ – Hemedi Phd

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hemed Phd amesema wakati anakuwa alikuwa mzuri kama mtoto wa kike, kitendo ambacho kilimuingiza kwenye matatizo mengi ikiwemo kufukuzwa shule. Akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Hemedi amesema muonekano wake wenye kuvutia, ulisababisha awe na mahusiano na mke wa mwalimu na kupelekea kufukuzwa […]

Read More..