-->

Daily Archives: September 21, 2017

Mama Lulu:Nasubiri Ndoa ya Lulu

Post Image

MAMA wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila amefunguka kuwa anasubiri ndoa ya mwanaye kwani mkwewe mtarajiwa yupo na ameonesha dhamira ya dhati ya kumuoa bintiye. Akishusha ‘vesi’ mara baada ya kuulizwa kuhusu mustakabali wa penzi la mwanaye, mama huyo alisema hana wasiwasi kama wazazi wengine wanavyokuwa na hofu. “Sina hofu kama wazazi wengine. Nasubiri […]

Read More..

Diamond Ampa Jaribu la Tatu Zari

Post Image

NI mwaka wa majaribu kwa mrembo wa Kiganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’. Hivi ndivyo unavyoweza kusema kutokana na majanga matatu yaliyotikisa maisha ya mlimbwende huyo kwa mwaka huu. Majanga hayo yalianza kumwandama Mei 25, mwaka huu baada ya mumewe wa zamani, Ivan Semwanga maarufu kama Ivan Don, kufariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini. Ikiwa […]

Read More..

Ebitoke Alizwa na Ben Pol (Audio)

Post Image

Mchekeshaji maarufu bongo Ebitoke alizwa na kitendo cha anayedaiwa kuwa mpenzi wake Ben Pol kutopokea simu wala kujibu meseji zake, na kuomba msaada kwa watu kumuuliza msanii huyo kwa nini anafanya hivyo, licha ya kuwa na mipango mingi ya baadae. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ebitoke amesema kitendo hicho kinamuweka njia panda, […]

Read More..