-->

Daily Archives: September 29, 2017

Wema Sepetu Ainunua Instagram kwa Muda

Post Image

Mrembo Wema Sepetu siku ya jana ni kama alinunua mtandao wa Instagram kwa muda baada ya picha zake kutawala. Katika maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa, wasanii mbalimbali na watu wengine mashuhuri walipost picha ya mrembo huyo kumtakia kheri ya kuzaliwa hivyo kufanya mtandao mzima kutapakaa kwa picha zake. Moja ya watu maarufu waliomtakia kheri […]

Read More..

Ben Pol: Sijafikiria Kuoa kwa Sasa

Post Image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ben Pol, amefunguka na kusema bado hajafikiria kuoa kwa sasa, kwani bado anahitaji kupambana na maisha ili kutimiza malengo aliyojiwekea. Akizungumza jana, Ben Pol alisema kupata mke mwema ni kazi, hivyo bado ana safari ndefu ya kuhakikisha anatengeneza maisha kwanza halafu ndoa ifuate. “Sijapanga kuoa kwa hivi karibuni, […]

Read More..

Shilole Adaiwa Kumtesa Uchebe

Post Image

MKALI wa miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ anadaiwa kumtesa mpenzi wake, Ashiraf Uchebe na kwamba imefikia kipindi anamgombeza mbele za watu kama mtoto mdogo. Kwa mujibu wa chanzo, kiliitonya Star Mix kuwa, juzikati katika Ukumbi wa Maisha Basement, Kijitonyama jijini Dar, Shilole alionekana akimkoromea Uchebe. “Yaani hadi aibu, Shilole sijui kwa nini aliamua kufanya […]

Read More..

TID Kugombea Ubunge 2020

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Khalid Mohamed maarufu kama T.I.D, ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni, kwenye uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020, na kumng’oa mbunge wa sasa wa jimbo hilo Maulid Mtulia. Akizungumza kwenye kipindi cha East Africa Breakfast kinachorushwa na East Africa Radio, TID amesema sababu inayomsukuma kugombea nafasi hiyo […]

Read More..