-->

Daily Archives: September 26, 2017

Ben Pol Amzimikia Mwanamke Huyu

Post Image

Msanii Ben Pol amesema kitu pekee anachokiangalia kwa mwanamke ambaye ataweza kumzimikia na kuwa naye kimapenzi ni lazima awe anajiamini pindi wakiwa wanaongea au hata wakiwa wana-chat. Ben Pol amefunguka hayo baada ya kupita siku chache tokea aliyekuwa anadaiwa kutoka naye kimapenzi ambaye ni msanii wa vichekesho nchini Anastazia Kisaveli ‘Ebitoke’ kulalamika kwamba hapokelewi simu yake […]

Read More..

Mwakyembe Apiga Marufuku Tuzo za Muziki na ...

Post Image

WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepiga marufuku uandaaji na uendeshwaji wa mashindano ya urembo (Miss Tanzania) na tuzo za muziki hapa nchini kutokana na ubabaishaji wa waandaaji wa mashindano hayo. Mwakyembe amesema mashindano ya Miss Tanzania yamegubikwa na ubabaishaji wa hali ya juu ambapo kwenye utoaji wa tuzo kumekuwa na tabia ya kuchelewa kuwapa […]

Read More..

Jackline Wolper Awapa ‘Kitchen Party’ M...

Post Image

Mcheza sinema wa Bongo Movie, Jackline Wolper amewaasa mashabiki wake kuacha kusikiliza maneno ya kukatisha tamaa wanapojitafutia riziki kwa kuwa hiyo ni kawaida. Jackline ameandika waraka mrefu katika mtandao wa Instagram akiwaasa mashabiki zake kuwa kama watasikiliza maneno ya watu hawatakamilisha ndoto zao. “Basi leo nataka niwaambie kitu hakuna binadamu anayependa hivyo ulivyo na ndio […]

Read More..

Wema ampa wakati mgumu Kadinda

Post Image

Mbunifu wa mavazi maarufu hapa bongo Martin Kadinda ambaye pia ni meneja wa msanii Wema Sepetu, amesema anapata wakati mgumu kumsimamia msanii huyo mkubwa na mrembo, kutokana na tabia zake zisizobadilika, ikiwemo kutokuwa kimawazo.   Martin Kadinda ameyasema hayo  kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba licha ya Wema Sepetu kuwa mtu […]

Read More..

Petit Man Alia na Waliovujisha Picha Zake z...

Post Image

SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mwanamitindo huyo akiwa katika pozi za mahaba na mdau wa muziki, Petitman Wakuache. Baada ya kuziona picha hizo Petit ameibuka na kutoa kauli nzito. PETITMAN ANENA! Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petit alipost picha akiwa na mke wake Esma ambaye ni wifi […]

Read More..