Dhamira Ndiyo Siri ya Kuacha Madawa-Dudubay...
Msanii wa Bongo Flava Dudubaya amesema ili mtu aweze kuacha madawa ya kulevya ni hadi dhamira yake imsute na kuamua mwenyewe kwa dhati. Akizungumza katika kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV, Dudubaya amesema msanii mwenzake Chid Benz na wasanii wengine hawawezi kuacha kutumia madawa ya kulevya kwa watu kuwapeleka popote kama dhamira yao haijawasuta […]
Read More..






