-->

Category Archives: BongoFleva

Ostazi Juma na Musoma Anajifunza Nini Kwa F...

Post Image

KUNA watu wamepata umaarufu katika namna ya kuchekesha kidogo. Unamkumbuka yule aliyejiita Mganga wa Diamond? Katika namna isiyotarajiwa, eti ghafla na yeye akawa maarufu tena maarufu sana. Kila eneo akasifika. Kuanzia kwenye blog, magazeti hata katika baadhi ya vipindi vya televisheni akawa anatajwa kila wakati. Ila sasa yuko wapi? Yale maneno na ahadi alizotoa juu […]

Read More..

Mr. T Touchez Amleta Rasmi Harmorapa (VIDEO...

Post Image

Zikiwa zimepita wiki mbili sasa tangu rapa anayechipukia Harmorapa kukutana na producer anayefanya vyema kwa sasa kwenye sekta ya muziki Mr. T Touchez na kufanya kazi pamoja inasemekana kazi ya rapa huyo iko tayari kwenda mtaani hivi sasa. Producer T Touchez amefunguka na kusema kazi hiyo imekamilika kila kitu na sasa ipo tayari kwenda kwa wananchi […]

Read More..

Simkubali Fid Q kwa Hili – Young Killer

Post Image

Rapa Young Killer Msodoki amefunguka na kusema hajawahi kumkubali rapa Fareed Kubanda  Fid Q kwenye kufanya mitindo huru kwa kuwa hajawahi kumuona mkali huyo wa hip hop Bongo akifanya mitindo huru. Young Killer alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema yeye anawakubali sana Nikki Mbishi, Godzilah pamoja na […]

Read More..

Video: Gigy Atoboa Kisa cha Kugombana na Mp...

Post Image

Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi cha ChoiceFm, Gigy Money amefunguka kwa kueleza kilichosababisha akagombana na mpenzi wake Mo J na jinsi walivyomaliza ugomvi wao. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Gigy amedai aliumizwa na kitendo cha kupigwa na mpenzi wake huyo baada ya kugundua amechepuka. “Kuna mambo yalitokea, Mo J alichepuka mimi nikamshtukia, kwa baada ya […]

Read More..

VIDEO:Ray C Amtaja Mpenzi Wake wa Kwanza

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Ray C amefunguka na kusema katika maisha yake alianza mahusiano ya mapenzi akiwa na umri wa miaka 16 na kusema alikuja kuachana na mtu wake wa kwanza kutokana na mambo ya ujana. Mbali na hilo Ray C alizungumzia juu ya ujio wake mpya na kusema wiki ijayo atafanya video […]

Read More..

Prof Jay, Mwana Fa, Nash Mc Tunahitaji Vite...

Post Image

MUZIKI wa Hip hop au Kemo kama unavyoitwa kitaalamu ni mama wa aina nyingi za muziki tunaousikia, umekuwa na mzuka wa aina yake kwa mashabiki hasa pale MC anapokuwa jukwaani akimwaga ladha ya mistari kwa mistari konde. Nadhani asili na chimbuko lake ndiyo limefanya uwe muziki wenye amsha amsha kubwa tofauti na aina zingine za […]

Read More..

Waziri Nape Jukwaani na Ray C, Leaders Kwen...

Post Image

WAZIRI wa Habari, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nauye kuonyesha kweli anausapoti muziki wa Bongo fleva ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha sanaa na kuwahamasisha vijana wajiajiri kupitia sanaa, Nape alipanda jukwaani kuimba pamoja na Ray c. Ni katika tamasha lilofanyika  Leaders Club ambako kulikuwa na shoo baab kubwa iliyokuwa ikiwakutanisha vinara wa RnB hapa Bongo, […]

Read More..

VIDEO: Fid Q Afungukia Ishu ya Irene Uwoya ...

Post Image

Baada ya malkia wa filamu nchini Irene Uwoya kutoa kauli yake ya kuwa anapenda wanaume wagumu na kumtolea mfano Fid Q, rapper huyo amefunguka na kuzungumzia kauli ya muigizaji huyo. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Fid Q amedai yeye siyo mwanaume mzuri lakini ana good look. “Mimi wakiitwa wanaume wabaya siwezi kwenda lakini pia wakiitwa […]

Read More..

Kilichomfanya Nahreel Apagawe kwa Aika, Hik...

Post Image

Msanii na producer Nahreel amefunguka sababu kubwa iliyomfanya kumpenda mpenzi wake Aika, ambaye wanaunda naye kundi la Navy Kenzo kuwa ni kutokana na uzuri wa mashavu yake na siyo hips wala kifua kizuri. Nahreel aliyasema hayo alipokuwa akiongea na EATV na kusema watu wengi wanadhani huenda alimpenda Aika kutokana na uzuri wake wa sura, uzuri wa […]

Read More..

Sakata la Q-Chief, Qs Mhonda Nyuma Yake Kun...

Post Image

HAINA tofauti sana na zile tetesi za usajili tunazo zisikia kwenye ulimwengu wa soka, ila safari hii tunazisikia kwenye tasnia ya muziki kufuatia mkongwe wa Bongo Fleva, Abubakary Katwila ‘Q Chief’ kuhusishwa kutua pale Wasafi Classic Baby (WCB). Uvumi huo umepata nguvu siku chache baada ya Q Chief kutangaza kuvunja mkataba na uongozi wake chini […]

Read More..

Baada ya Kumuita Nyani, Iyobo Amvaa Tena Ha...

Post Image

KIONGOZI wa madansa ambaye ni dansa tegemezi wa Wasafi Classic Baby (WCB) Mose Iyobo amefunguka kuwa yeye hana imani na Harmorapa na anashangaa anavyotajwa kila mahali kwani yeye hajawahi kusikia kazi yake yoyote hivyo hajui uwezo wake kimuziki. Iyobo aliendelea kwa kutoa povu kuwa yeye anamchukulia Harmorapa kama mtu aliyekurupuka kwenye muziki na hajui ni […]

Read More..

Ray C: Namtamani Ray Vanny

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Ray C amefunguka na kusema anamtamani sana msanii kutoka katika label ya WCB Wasafi Ray Vanny na amekuwa akipenda sana kazi zake na kuzisikiliza, hivyo anatamani kufanya naye kazi hata moja tu. Ray C alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema anasikia Ray […]

Read More..

Alikiba Ampagawisha Waziri Nape Nnauye

Post Image

Msanii Alikiba ambaye leo ameachia remix ya wimbo wake wa ‘Aje’ ameonesha kumkosha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kiasi cha Waziri huyo kusema kuwa Alikiba ni kati ya wasanii wanaofanya ajisikie fahari kuwa Waziri Mhe. Nape Nnauye amesema hayo leo baada ya msanii huyo kukabidhiwa tuzo yake katika kituo kimoja […]

Read More..

Queen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi

Post Image

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake ya sasa maana yeye pia anahitaji kupenda na kupendwa kama walivyo watu wengine. Akichonga na Showbiz Xtra, Queen Darleen alisema kuwa, tangu aachane na mzazi mwenziye […]

Read More..

Masogange Apelekwa Kupimwa Utumiaji Madawa ...

Post Image

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu Dar es Salaam, Simon Sirro amesema mtuhumiwa Agness Gerald, maarufu Masogange amepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kuchukua vipimo vya damu ili kubaini kama anatumia dawa za kulevya. Masogange ambaye ni mrembo maarufu anayetamba katika video za wasanii mbalimbali wa bongo fleva alikamatwa na polisi juzi. […]

Read More..

Diamond Afungukia Ishu Yake ya Kuripoti Po...

Post Image

Msanii Diamond ameelezea kile kilitokea baada ya picha  kusambaa  zinazomwonyesha akihojiwa na jeshi la polisi. Muimbaji huyo amedai alienda polisi kujieleza kwa jeshi la usalama barabarani baada ya jeshi hilo kudaka clip yake ya video inayomwonyesha aliendesha gari huku akiwa hajavaa mkanda. Diamond ametoa taarifa hii kupitia ukurasa wake wa instagram Leo nilireport kituo kikuu […]

Read More..

Menina La Diva Ajifungua Mtoto wa Kiume

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva aliyewahi kushiriki shindano la kusaka vipaji maarufu la Bongo Star Search (BSS), Menina, amejifungua mtoto wa kiume Februari 9 wiki iliyopita na jina la mtoto huyo bado halijafahamika. Aidha Menina aliyewahi kutamba na wimbo wake wa ‘Dream Tonight’ alitoa taarifa hiyo kupitia mtandao wake wa Instagram ambapo mastaa wenzake wakaendela kwa […]

Read More..

Watu Wanataka Kiki Kwa Jina Langu- Shilole

Post Image

ZUWENA Mohamed ‘Shilole’ analalamika akidai kuwa kwa sababu yeye ni msanii nyota wa filamu na muziki kuna watu wanataki kiki kupitia jina lake hata hivyo amelitambua hilo na atakuwa makini sana kila anaposikia jambo atafikiria alijibu au lah kwani akifanya hivyo anawatangaza wanaojinufaisha na jina lake. “Mimi ni super star kuna watu wanatumia jina langu […]

Read More..