-->

Category Archives: BongoFleva

Picha: Zari Asherehekea Birthday Yake Visiw...

Post Image

Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa karibu. Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo.      

Read More..

Diamond na Mr Blue Wananibeba – Dully Sykes

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Dully Skyes amefunguka na kusema kuwa katika wasanii wote ambao aliwasaidia katika muzuki mpaka wametoboa ni wasanii watatu tu ambao wamekuwa wakilipa fadhila kwake na ambao wamekuwa wakimpigania. Dully Skyes alisema hayo kwenye kipindi cha Planet bongo na kusema kuwa amewasaidia wasanii wengi lakini wengi wao wamekuwa wakiishia […]

Read More..

Picha:Nyumba Mpya ya Diamond ya South Afric...

Post Image

Staa wa bongo fleva,Diamond Platnumz ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wenye mafanikio makubwa hapa nchini, hakuweka wazi nyumba hiyo imegharimu kiasi gani kuinunua. “Wanakazana kujisifu matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga. Halafu leo yule yule wanaemtukana kutwa kwenye mitandao kuwa masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao […]

Read More..

Nay Wa Mitego Aitakia Mema Ndoa ya Shamsa F...

Post Image

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego ameitabiria mema ndoa ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford. Shamsa ambaye alikuwa mpenzi wa rapper huyo alifunga ndoa mwezi mmoja uliopita na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi. Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Nay Wa Mitego amesema Shamsa […]

Read More..

Baba Levo ni Mazinguaji – Msechu

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Peter Msechu amefunguka na kusema kuwa kwa mtazamo wake, msanii Baba Levo ambaye kwa sasa ni Diwani, ni kati ya wasanii wazinguaji ambao wanatapatapa. Peter Msechu alisema hayo kupitia kipindi cha ‘Ngaz kwa ngaz’ kinachorushwa na EATV ambapo alisema kwa kuwa Baba Levo ni msanii mzinguaji ndiyo maana ameamua […]

Read More..

GK: Sifanyi Show Chini ya Milioni 30

Post Image

Msanii aliyekuwa anaimba hip hop na kuamua kuingia kwenye Bongo flava, King Crazy GK amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hataki tena show ambazo hatalipwa fedha chini ya milioni 30. Crazy Gk ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Mzuri Pesa’ aliyoifanya kwa kuimba amezungumza na eNewz na kusema kuwa kwa sasa mtu […]

Read More..

Dayna Nyange: Nalitamani Penzi La Idris

Post Image

NAAM ni siku nyingine tena tumekutana katika kona yetu hii ya Mtu Kati. Baada ya wiki iliyopita katika kona hii kuwaletea msanii kutoka Bongo Muvi, Ester Kiama leo tumegeukia kwa upande wa Muziki wa Bongo Fleva na kumpata Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’. Dayna ni mmoja wa mastaa wa kike Bongo aliyejipatia umaarufu kupitia ngoma kibao […]

Read More..

Tetesi za Harmonize na Raymond Kuvimbiana,M...

Post Image

Meneja anayewasimamia wasanii wa WCB wakiwemo Harmonize na Raymond, Ricardo Momo, amekanusha tetesi kuwa mafahari hao wamekuwa wakivimbiana na kwamba kila mmoja anajiona bora. Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM ya Njombe, Prince Ramalove, Ricardo amedai kuwa wawili hao wanaishi kwa upendo mkubwa. “Hayo ni maneno tu, sisi tunaishi kama […]

Read More..

Dhamira Ndiyo Siri ya Kuacha Madawa-Dudubay...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava Dudubaya amesema ili mtu aweze kuacha madawa ya kulevya ni hadi dhamira yake imsute na kuamua mwenyewe kwa dhati.   Akizungumza katika kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV, Dudubaya amesema msanii mwenzake Chid Benz na wasanii wengine hawawezi kuacha kutumia madawa ya kulevya kwa watu kuwapeleka popote kama dhamira yao haijawasuta […]

Read More..

AY Atoboa Haya Usiyoyajua Kuhusu P-Funk

Post Image

Ambwene Yessaya aka AY amefunguka kwa kumtaja mtayarishaji wa muziki mkongwe hapa Bongo, P-Funk Majani ndiye alimpatia majina yake mawili ya utani. Rapper huyo ameyataja majina aliyopewa na mtayarishaji huyo mkongwe ni pamoja na jina la Mzee wa Commercial ambalo alipewa mwaka 2001 na El Chapo ilikuwa mwaka 2012. Kupitia mtandao wake wa Instagram, AY […]

Read More..

Harmonize: Nilishawahi Kuwa Dereva Bodaboda

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Matatizo’ amefunguka na kusema kuwa katika harakati zake za kutafuta maisha alishawahi kuwa dereva wa bodaboda. Harmonize amesema aliifanya kazi hiyo katika kuhakikisha anaendesha maisha yake kabla ya yeye kutoboa kwenye mambo ya muziki. Akiongea kupitia kipindi cha ‘Ngazi […]

Read More..

Saida Karoli Afunguka ya Moyoni

Post Image

Msanii wa nyimbo za asili Saida Karoli aliyevuma kitambo, amefunguka na kusema kuwa kitendo cha msanii Diamond Platnum kurudia moja ya kazi yake anajihisi kuzaliwa upya. Saida Karoli ambaye aliwahi kufanya vizuri na nyimbo kama ‘Mapenzi kizunguzungu’, Kaisiki, Maria Salome na nyingine kibao na alifanikiwa kuliteka soko la Afrika Mashariki kwa nyimbo hizo na kujipatia […]

Read More..

Hip Hop si Dini Wala si Kabila- Darassa

Post Image

Rapa anayefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Too Much’ kwenye muziki wa bongo sasa Darassa amefunguka na kusema kuwa muziki wa Hip hop si kabila wala si dini ila yeye anatambua kuwa anakipaji. Akiongea kwenye kipindi cha ‘Ngazi kwa Ngazi’ kinachorushwa na EATV Darassa amesema watu wamekuwa wakiongea mengi juu ya muziki anaofanya, watu wamekuwa […]

Read More..

Chid Benz Afunguka Kuhusu Kurudia Tena Mada...

Post Image

Rapa Chid Benz ambaye kipindi cha nyuma alikuwa akitumia madawa ya kulevya na baadaye alipelekwa rehabu kwa ajili ya kuacha matumizi ya madawa hayo amefunguka na kusema kuwa arudie kwenye matumizi ya madawa hayo au asirudie hilo watu wasiangalie. Amesema yeye anatambua kuwa hawaangushi mashabiki zake kwenye ile kazi ya muziki ambayo ilifanya wamjue. Chid […]

Read More..

Hivi Ndivyo Diamond Alivyomalizana na Saida...

Post Image

Sallam kutoka WCB ameonyesha baadhi ya nyaraka ambazo zimewapitia kibali cha kutumia sehumu za wimbo ‘Maria Salome’ wa Saida Karoli katika wimbo mpya wa Diamond, ‘Salome’. Wimbo ‘Maria Salole’ wa Saidi Karoli ni miongoni mwa nyimbo za asili zilizofanya vizuri miaka ya 2000. Hali hiyo iliufanya uongozi wa Diamond kuzungumza na uongozi wa Saida Karoli […]

Read More..

Bushoke: Ushauri wa Mashabiki Hunijenga San...

Post Image

Bushoke amedai kuwa ushauri kutoka kwa mashabiki hasa ule anaoupata kwenye mitandao ya kijamii humjenga. Hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Mpita Njia’ ambao anadai kuwa mashabiki wengi wamempongeza. Akiongea na Bongo5 Bushoke amesema huwa anapenda kusoma sana koment za mashabiki wake na kuwajibu “Unajua mimi huwa anapenda sana kusoma comment nione mashabiki wangu […]

Read More..

Vanessa Mdee Afunguka Kuhusu Ndoto Zake za ...

Post Image

Vanessa Mdee ana ndoto kubwa. Ndoto yake siku moja, kuwa msanii kutoka Tanzania atakayeshinda tuzo za heshima, Grammy. Na sasa anaamini kuwa, mwanzo wa kukaribia kuiishi ndoto hiyo umewadia. Vee Money, ni mmoja wa wasanii wa Afrika, waliochaguliwa kurekodi wimbo na mshindi wa Grammy na nyota wa RnB nchini Marekani, Trey Songz. Shukrani kwa kipindi […]

Read More..

Wasanii Wanamkimbia Marco Chali – Mas...

Post Image

Mtayarishaji mkongwe wa muziki na mmiliki wa studio ya ‘Mj Records’ Master J amefunguka na kusema kuwa ukimya wa ‘Producer’ Marco Chali kwenye muziki unatokana na wasanii wengi kuogopa gharama zake. Master Jay alisema haya kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kudai kuwa wasanii wamekuwa wakiwakimbia watayarishaji wa muziki ambao wameweka […]

Read More..