Category Archives: BongoFleva

Goodluck Gozbert: Natumia Muda Mwingi Kutaf...

Post Image

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gosbert amesema kuwa kwa sasa yupo singo na anatumia muda mwingi kutafakari mamb makuu ua Ufalme wa Mungu na muziki wake. “Niko singo kwa sasa, lakini sio kwamba wasichana hawanisumbui napokea simu zao lakini kwa sasa sio wakati wakati wake, muda wangu mwingi nautumia kutafakari mambo makuu yanayohusu ufalme […]

Read More..

Diamond Analipa Fadhila kwa Chid Benz

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye anafanya vizuri kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa kwenye muziki, ametoa siri ambayo inamfanya awe mstari wa mbele kumsaidia msanii Chid Benz, alipopata matatizo. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond Platnumz amesema anafanya hivyo kwa Chid Benz kutokana na kitendo alichomuonyesha kabla hajawa maarufu, kukubali kufanya naye collabo […]

Read More..

Wema Sepetu, Ivan Ex wa Zari na Diamond Wat...

Post Image

Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea kuuthibitishia umma kwamba hana tena kinyongo na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya Jumamosi hii kumwandikia ujumbe mzuri bintiye Diamond, Tiffah katika siku yake ya kuzaliwa. Wawili hao hivi karibuni wameonyesha kushirikiana mambo kadhaa katika mitandao ya kijamii licha ya wiki mbili zilizopita kusambaa kwa tetesi ya […]

Read More..

Jide, Mwarabu Wazua Utata

Post Image

MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ na Mwarabu mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, wamezua utata wa aina yake kufuatia msanii huyo ‘kumposti’ mara kwa mara kwenye mtandao wake wa Instagram. Risasi Jumamosi lilianza kumfuatilia Jide baada ya kutonywa na chanzo kuwa msanii huyo amekuwa akimposti Mwarabu huyo na kwamba kuna kila […]

Read More..

Zari Adaiwa Kutishia Kutoa Mimba!

Post Image

Hakuna ubishi kuwa mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ni mjamzito lakini habari ambayo hujaisikia ni kwamba hivi karibuni mwanamama huyo alidaiwa kutaka kuichoropoa mimba hiyo.   Kisa Lynn Chanzo chetu ambacho ni rafiki wa karibu wa Diamond kilitumwagia ubuyu kuwa, baada ya yale madai kuwa Diamond anatoka na yule Video […]

Read More..

Singeli Tuipe Nguvu Zaidi- Juma Nature

Post Image

Msanii mkongwe wa bongo fleva Juma Kassim Nature amefunguka na kusema kuwa katika muziki Bongo ambao unaweza kupewa nafasi kubwa zaidi ni muziki wa singeli kwanza anasema ni muziki wenye asili yetu lakini pia ni muziki ambao tayari watu wanauelewa Juma Nature alisema haya kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema […]

Read More..

Ray C Full Kicheko

Post Image

MSANII mkongwe wa Muziki wa Kizazi Kipya aliye katika majaribu makubwa ya matumizi ya madawa ya kulevya, hivi sasa anadaiwa kuwa full kicheko kufuatia mabadiliko makubwa ya afya yake tangu alipoanza kupata matibabu katika kituo cha wahanga wa ‘sembe’, Sober House kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani. Kwa mujibu wa bosi wa kituo hicho, Karim Bhanji, Ray […]

Read More..

Gigy Money: Nazaa na Idris

Post Image

Msanii wa muziki ambaye pia anafanya ‘modeling’ na utangazaji kwenye Kituo cha Redio cha Choice FM cha jijini Dar, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amejitangazia ushindi wa kumnasa aliyekuwa mpenzi wa Wema Sepetu, Idris Sultan huku akitamba kuwa, sasa atamzalia mtoto. Awali kulikuwa na vita nzito kati ya Wema na Gigy ambapo wakati Wema akiendelea kupalilia […]

Read More..

Mama Diamond Anywea kwa Zari

Post Image

Imevuja! Baada ya muda mrefu kusambaa kwa habari kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’, ‘haivi’ na mwandani wa msanii huyo, Zarinnah Hassan ’Zari The Boss Lady’, imedaiwa kuwa kwa sasa bi mkubwa huyo amenywea kwa kumkubali Zari. Taarifa hizo zilizopenyezwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya familia […]

Read More..

Afande Sele Afungukia Sakata la Nay Kufungi...

Post Image

Msanii Afande Sele ameonyesha kutoridhishwa na kitendo cha msanii Nay wa Mitego kufungiwa kufanya kazi za sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa muda usiojulikana mpaka atakapotimiza masharti aliyopewa na baraza hilo. Afande Sele kupitia ukurasa wake wa ‘Facebook’ amesema kuwa yeye anashangaa kuona adhabu hiyo anapewa Nay wa Mitego tu ilihali kuna wasanii […]

Read More..

Chid Benz Asimulia Baada ya Kumuona Diamond...

Post Image

Baada ya miezi kadhaa kutoka sober, Chid Benz jana ameachia ngoma yake mpya iitwayo Chuma aliyomshirikisha mkali wa ngoma ya Natafuta Kiki, Rayvany,kwenye kipindi cha XXL, amesimulia kwa mara ya kwanza kumuona Diamond akiwa maetoboa pua. Kama unakumbuka vizuri Diamond aliwahi kumuimba Chid Benz baada ya kutoboa pua kwenye ngoma aliyoimba na Nay Wa Mitego […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungiwa na Kupigwa Faini

Post Image

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego. Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego hadi hapo litakapojiridhisha kwamba ametekeleza […]

Read More..

Jay Moe Afunguka Kutoka na Shilole

Post Image

Mwanamuziki rapa nchini anayetikisa kwa ngoma ya ‘Pesa Madafu’, Jay Moe amekuwa akionekana karibu sana na rapa Bilnass ambaye anatikisa na ngoma ya ‘Chafu Pozi’ kitu ambacho ni njia pekee ya Jay Moe kumpata mrembo Shilole. Baada ya kuwepo kwa tetesi za wawili hao kutoka kimapenzi na zaidi kuonekana picha wako pamoja kwenye moja ya […]

Read More..

Picha: Shilole Ashikwa Kiuno na Mashabiki S...

Post Image

Msanii wa muziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amewatoa udenda wakutosha mashabiki wa muziki wake hivi karibuni baada ya kuwapa nafasi ya kushika kiono chake. Shilole akiwa jukwaani Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Say My Name’ amefanya tukio hilo katika show yake iliyofanyika Jumamosi iliyopita katika hotel ya Kijiji Beach Kigamboni. Katika […]

Read More..

Diamond Platnumz Afunguka Kulichotokea Kat...

Post Image

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Judith Mwangi ‘Avril’ ambaye alicheza kama video queen kwenye wimbo wa Diamond Platnumz ‘Kesho’ amefunguka na kusema hakuwahi kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz kama ambavyo baadhi ya watu walivyokuwa wakidhani huenda kuwa Diamond Platnumz baada ya video hiyo labda alitumia nafasi hiyo kutoka naye kimapenzi. Avril kwenye kipindi cha Planet […]

Read More..

Alikiba na Barakah Da Prince Wavamiwa na Wa...

Post Image

Alikiba na Barakah Da Prince wamevamiwa na majambazi jijini Johannesburg, Afrika Kusini Alhamis hii. Wawili hao waliwasili nchini humo asubuhi ya jana walikoenda kufanya kazi mbalimbali ikiwemo kushoot video zao. “Wote Alikiba na Barakah the Prince walikuwa pamoja na timu kwaajili ya mkutano wa utayarishaji kwenye ofisi zilizopo maeneo ya katikati za kampuni maarufu ya […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Picha za ‘Pal...

Post Image

Msanii Nay wa Mitego ambaye siku za karibuni wimbo wake mpya ‘Pale kati’ umefungiwa na Baraza la sanaa Taifa (BASATA) amefunguka na kusema kuwa suala la watu kusambaza picha kwenye mitandao ya jamii huku zikiwaonyesha wanawake wakiwa hawana nguo kabisa siyo kosa lake yeye kwani hakufanya hicho kitu bali kuna watu walitengeneza hizo picha wakiwa na […]

Read More..

Tunajifunza Sanaa Magetoni-Niki wa Pili

Post Image

Msanii Niki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kusema wasanii wengi nchini wanajifunza sanaa magetoni, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kama You tube ambako kote huko hakuna maadili ya sanaa kama ilivyo katika fani zingine ambazo  watu huingia radasani na kusomea fani hizo ambazo mwisho wa siku zinakuwa na misingi ambayo […]

Read More..