-->

Category Archives: Bongomovies

artists from Tanzania , East AFRICA

Ray Kigosi Afungukia Unafiki wa Baadhi ya M...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kusema kuwa baadhi wa Watanzania ni wanafiki na wamekuwa wakikatisha tamaa watu katika mambo yao kutokana na unafiki wao. Ray Kigosi amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na kusema kutokana na unafiki huo wa baadhi ya watu ulimfanya mpaka marehemu Kanumba kuvunjwa moyo katika kazi yake […]

Read More..

Sina Tatizo na Wema Sepetu wala Mama Yake &...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Steve Nyerere amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye na Wema Sepetu hawana tatizo lolote na kudai yule ni dada yake hivyo wanaheshimiana na kuendelea kuishi kama zamani licha ya Wema Sepetu kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Steve Nyerere amesema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kusema ni kweli kulikuwa na matatizo […]

Read More..

NDANI YA BOKSI: Mnalazimisha Kuuza Kitimoto...

Post Image

Kuna kitu kinaendelea Dar es Salaam kwa sasa. Ukikifikiria sana unaweza kulia. Vituko vya Harmorapa vina tija na mvuto kuliko haya ya Bongo Movie. Yaani ni filamu tosha inatengenezwa. Bongo Movie wanachofanya ni kuliua zaidi soko la filamu zao. Pamoja na kelele za wadau mbalimbali hawasikii la muadhini wala mnadi swala. Wameweka pamba sikioni na […]

Read More..

Thea:Tunatetea Haki Yetu

Post Image

MSANII wa filamu za Kibongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ ameibuka na kuwabeza watu wanaowaponda waigizaji kwa kitendo chao cha kuandamana kupinga uuzwaji holela wa sinema za nje kwa kuwaambia waendelee kutukana kwani wao walifanya hivyo ili kutetea haki yao. Akipiga stori na Za Motomoto News, Thea alisema wao walifanya hivyo kwa kuona inafaa, sasa kama kuna […]

Read More..

Simfahamu Nay wa Mitego – JB

Post Image

Msanii Jacob Steven  JB’ amedai kutomfahamu Nay wa Mitego na kusema pamoja na kusikia sehemu mbali mbali za maneno ya kashfa kutoka kwa msanii huyo yeye bado anampenda japokuwa hamjui na wala hajawahi kusikiliza nyimbo zake. Akilijibu swali la Mtangazaji wa eNewz Duwe Santana kuhusu jinsi alivyopokea kauli ya wasanii waliondamana kuitwa ‘Matahira’ JB amesema […]

Read More..

Wolper Acharukia Wasanii Wenzake

Post Image

Dar es Salaam: Staa mwenye kiwango cha juu Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka kuwa, wasanii wengi waliopo kwenye tasnia ya filamu ni wanafiki na wanafuata mkumbo, hawako kiuhalisia.   Akizungumza na Showbiz, wakati wa maandamano ya kupinga wizi wa kazi zao na uingizwaji na uuzwaji holela wa sinema za nje, Wolper alisema kuwa, wasanii […]

Read More..

Siasa Imechangia Kutuua Bongo Movie-Steve N...

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Steven Nyerere amekiri kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa waigizaji kujiingiza kwenye siasa pia ni chanzo cha tasnia ya filamu nchini kupoteza mvuto. Steve amefunguka hayo ikiwa ni siku chache tangu kufanyika maandamano ya baadhi ya wasanii wa filamu kuishinikiza serikali kuwaondolea kodi katika filamu zao au kuhakikisha inakusanya pia […]

Read More..

Wasanii Wasiopiga Kelele Hawategemei Filamu...

Post Image

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen ‘JB amefunguka na kudai hawakufanya maandamano ya kuzuia movie za nje ya nchi kuuzwa nchini bali waliandamana kuzitaka zilipiwe kodi au serikali itoe msamaha kwenye filamu za ndani. JB amezungumza hayo alipokuwa akifanya mahojiano na wanahabari wakati wa uzinduzi wa filamu ya Tunu na kudai kuwa watu wengi wamehusisha maandamano yao na […]

Read More..

Mchawi wa Filamu za Bongo Hayupo Kariakoo

Post Image

BAADHI ya wasanii wa filamu za Bongo wameandamana maeneo ya Kariakoo wakiamini ndiko alipo mchawi anayeroga kazi zao zisiuzike. Awali Bongo Fleva walikuwa wakipata shida kubwa walipokuwa wakipambana na muziki wa Genge uliokuwa maarufu nchini Kenya ambao ladha na mwonekano wa muziki huo ni kama wa Bongo Fleva, lakini hawakuandamana kwenda Kariakoo kupinga nyimbo zao […]

Read More..

Nay wa Mitego Apewa Makavu na Mzazi Mwenzak...

Post Image

Msanii wa hip hop, Nay wa mitego amechezea kichambo kutoka kwa mzazi mwenzake ambaye ni muigizaji wa filamu za bongo, Skyner Ally kuwa ameshindwa kuwa baba bora kwa binti yake. Kwenye ukurasa wake wa instagram Skyner amefunguka maneno hayo akiwa anamtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake ambaye amefikisha miaka mitano na kudai kuwa alikuwa na […]

Read More..

Lulu Awajibu Wanaomnanga Mtandaoni

Post Image

MTOTO mzuri Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewataka wanaomsema kuwa ni mfupi, wampime kwa akili zake maana yeye harefuki mwili lakini anarefuka akili. Akizungumzia ufupi huo ambao umekuwa ukijadiliwa mara kwa mara mitandaoni, Lulu alisema anaufunga mjadala huo kwa kuwataka wanaomjadili wafuatilie matendo yanayofanywa na uwezo wa akili yake. “Niwaulize tu wanamuoanaje Lulu wa miaka […]

Read More..

Beef ya Nay wa Mitego na Yusuph Mlela Yafik...

Post Image

Baada ya muigizaji wa filamu, Yusuph Mlela kuomba pambano la ngumi na rapa Nay wa Mitego, rapa huyo amemjibu muigizaji huyo kwa maneno ya kejeli. Wawili hao waliingia kwenye bifu hilo baada ya Nay wa Mitego, kuwaita wasanii wa filamu ‘mataahira’ kisa kuandamana kupinga biashara ya filamu ‘feki’ za nje ambazo hazilipi kodi. Rapa huyo […]

Read More..

Bongo Movie Tengenezeni Sababu ya Filamu Ze...

Post Image

UNAWEZA kumpeleka ng’ombe mtoni kwa kutumia nguvu nyingi, ila ukashindwa kutumia nguvu hiyo hiyo kumfanya anywe maji ya mto, kwa kuwa uamuzi wa kunywa au kutokunywa ni wake. Mapema wiki hii jijini Dar es Salaam baadhi ya wasanii wa filamu walifanya maandamano ya kupinga uuzwaji wa filamu za nje zisizofuata utaratibu kwa kile walichodai zinashusha […]

Read More..

Tunu ya JB Kuzinduliwa leo Ukumbi wa Sinema...

Post Image

Kampuni ya steps itazindua Filamu ya Tunu leo kwenye ukumbi wa Sinema wa Quality Center (Sineplex Suncrest Cinema) kuanzia saa 12 jioni.      

Read More..

Wema: Deni Tulilonalo ni kwa Watanzania tu

Post Image

STAA wa filamu na malkia wa mtandao Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Maddam’, amewafungukia wasanii walioandamana Kariakoo wakidai kuwa filamu zao haziuzi kutokana na mfumo wa usambazi wa kazi zao uliopo jijini Dar. Madai hayo yamezuia mijadala kila kona ya jiji na nje ya Dar es Salaam. Wema amechapisha katika ukurasa wake wa Instagram na ujumbe […]

Read More..

Idris Sultan Atokwa Povu Ukaribu wa Wema, G...

Post Image

MSANII wa komedi Bongo na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2015, Idris Sultan, ‘Dokta Mwaka’ ametokwa povu baada ya kuona picha za Wema Sepetu na Gabo Zigamba staa wa filamu Tanzania. Idris alichapisha katika ukurasa wa Instagram akihoji mazingira ya picha ile kutaka kujua eneo lile ni wapi. Mashabiki wa Wema mtandaoni wanafasiri […]

Read More..

Shamsa Ford Apata Majanga, Apigwa Ngumi

Post Image

STAA wa kutoka kiwanda cha filamu cha Bongo Muvi, Shamsa Ford amepata jeraha la maisha baada ya kupigwa ngumi na jamaa ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa alitupia picha iliyomuonyesha akiwa na jeraha usoni na kuandika ujumbe kwa mashabiki zake kuwa alipigwa akiwa anagombelezea ugomvi. Shamsa amefunguka kuwa tukio limetokea […]

Read More..

Bongo Movie Trailer-Yai Viza (24/04/2017)

Post Image

Kutoka STEPS ENTERTAINMENT LTD , Filamu ya Yai viza inatoka 24.04.2017 usikubali kukosa Kabisa kutana na @philimonlutwaza @jacquelinemateru @leonsambala na wengine wengi usikose

Read More..