-->

Category Archives: Other News

Sakata la ‘Unga’: Makonda Ametoa Siku 1...

Post Image

LEO Jumatatu, Februari 6, 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa na Kamanda Sirro katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam amezungumza na wanahabari kuhusu oparesheni ya kusaka wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya kwa mkoa wake. Mambo  aliyoyasema Paul Makonda leo ni kutoa siku kumi kuanzia kesho February […]

Read More..

Rais Magufuli Azungumzia Swala la Madawa y...

Post Image

Rais John Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata wanaohusika na Dawa za Kulevya. Asema si kazi ya Makonda peke yake. Rais Magufuli amesema hakuna wa kuachwa hata akiwa mkewe Mama Janet Magufuli, na kuongeza kuwa wakamatwe bila ya kujali majina yao. Rais pia amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu kwa […]

Read More..

IGP Mangu Awasimamisha Kazi Askari Polisi 1...

Post Image

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu amewasimamisha kazi askari 12 waliotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya wakati uchunguzi ukiendelea. IGP huyo amewaambia wanahabari, Jumamosi hii katika makao makuu ya Polisi huku akisema kuwa Polisi ndiyo chombo kinachoongoza mapambano juu ya madawa hayo, huku akisema kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya askari atakayetuhumiwa. “Tumeamua kuwasimamisha […]

Read More..

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Mkuu wa Maje...

Post Image

Rais John Magufuli amemteua Luteni Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana jioni inasema Mabeyo amechukua nafasi ya iliyoachwa wazi na Davis Mwamunyange ambaye amestaafu. Mbali na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi, Mabeyo amepandishwa cheo kuwa Jenerali. Pia, Rais Magufuli amemteua Meja Generali James Mwakibolwa kuwa Mnadhimu […]

Read More..

Video: Mzee Wa Upako Anthony Lusekelo Ahubi...

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar es salaam, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ ametrendi mtandaoni wiki hii baaada ya kusambaa kwa video inayomwonyesha akiwaubiria watumishi wa kanisa lake kwa kutunia wimbo ‘Muziki’ wa Darassa. Mchungaji huyo amedai ameamua kubadilisha namna ya kuubiri kwa kuwa dunia inaenda kila siku ikibadilika. “Lazima ujue huku […]

Read More..

Video: RC Makonda Awataja Wema, TID, Askari...

Post Image

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja Askari wa Jeshi la Polisi pamoja na wasanii maarufu hapa nchini wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa biashara haramu ya madawa ya kulevya. Makonda amewataja askari hao wakati akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam. RC Makonda amewataja wanaotuhumiwa kutumiwa dawa za […]

Read More..

Pichaz: Jinsi Wachimbaji 15 Walivyookolewa ...

Post Image

Wakiwa wameloa mwili mzima na tope la udongo mwekundu wa mgodini uliokuwa umezifunika nguo zao, wachimbaji hawa 15, hawakuamini macho yao baada ya kuliona tena jua kwa mara ya kwanza, kufuatia kuwa chini ya ardhi, kwa siku nne mfululizo. Miili yao haikuwa na nguvu, tumboni hakukuwa na kitu na njaa ya siku nne ilikuwa imewatafuna […]

Read More..

Haji Manara wa Simba Kumposa Wema Sepetu? A...

Post Image

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara ameendelea na kueleza hisia zake za kutofurahishwa na shirikisho la soka Tanzania TFF kwa kile anachokiita kutokuwa makini na upangaji wa ratiba za Ligi bila kubadilibadili ambapo ameandika yafuatayo. RATIBA TU NI MUHALI,,HAYO MENGINE KWETU SI BAHARI ??* Haji S Manara. Kuna kurogwa na […]

Read More..

TRA Yatoa Elimu ya Kodi kwa Wasanii wa Fila...

Post Image

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea na mpango mkakati wake wa kuhakikisha inatoa elimu ya kodi na inamfikia kila mdau ili kuwajengea uelewa wa masuala ya kodi na uhiyari wa kuilipa. Hivi karibuni mamlaka hiyo ilikutana na wasanii mbalimbali wa maigizo na muziki ili kuwafundisha kuhusu masuala mbalimbali ya kodi pamoja na umuhimu wa kulip […]

Read More..

Hawa Ndiyo Wanawake Waliong’ara 2016

Post Image

Tunaendelea na wanawake waliong’ara mwaka 2016 kwa kutoa maelezo kigo kuhusu walichofanya. Khadija Mwanamboka Wengi wanamfahamu Khadija Mwanamboka kutokana na tasnia ya mitindo. Alikuwa miongoni mwa wabunifu waliohamasisha Watanzania kuvaa mavazi yanayotengenezwa na wabunifu wa hapa nchini. Mwaka 2016, aligeukia upande mwingine na kujihusisha zaidi na biashara ya chakula. Kupitia chapa yake ya Vitu vya […]

Read More..

Pichaz:Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Kris...

Post Image

    GPL  

Read More..

Washindi Kutunisha Misuli Kulamba Zaidi ya ...

Post Image

CHAMA cha Watunisha Misuli Tanzania (TBBF), kimepanga kutoa ajira kwa vijana watakaoshinda kwenye shindano la kutunisha misuli litakalofanyika Desemba 8, mwaka huu. Katibu Mkuu wa Chama hicho, Francis Mafungilo, alisema lengo la kufanya shindano hili ni kusaidia kuwaondoa vijana katika umaskini na makundi maovu. Mafungilo alisema mshindi wa kwanza katika shindano hilo atazawadiwa Sh milioni […]

Read More..

Kigwangalla Akifunga Kiwanda cha Afro-Ameri...

Post Image

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla, ameendelea na usimamizi wa Operesheni Maalum ya kufuatilia na kuufumua mtandao wa Viroba na Pombe feki na haramu nchini. Mchana huu amelazimika ku na vinginevyo ambavyo vimekutwa havina vibali vya TFDA na havina usajili wa TFDA, havina Batch Number ya kutambua […]

Read More..

Picha:Mwili wa Samuel Sitta Ulivyopokelewa ...

Post Image

Mwili  wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta umewasili jioni hii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ukitokea nchini  Ujerumani ambako alikuwa akitibiwa hadi mauti yalipomfika. Mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege, mwili wa Marehemu Sitta utapelekwa nyumbani kwake Msasani, Dar […]

Read More..

Donald Trump Ashinda Uchaguzi wa Rais Marek...

Post Image

Donald Trump amemshinda Hillary Clinton katika matokeo ya uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali. Bi Clinton amempigia simu Bw Trump kumpongeza kwa ushindi wake. Bw Trump alikuwa ameshinda majimbo mengi muhimu na kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda. Alikuwa ameshinda Ohio, Florida, na North Carolina, ingawa Bi Clinton alishinda Virginia. Kwa sasa Trump ana […]

Read More..

Hii Ndiyo Kauli ya Mwisho ya Sitta Baada ya...

Post Image

Mtoto wa marehemu Samweli Sitta,ambaye pia ni Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta amesema kabla ya kifo cha mzee sita alisema “that is life (hayo ndiyo maisha) baada ya kuambiwa na daktari kwamba ugonjwa unaomsumbua hawezi kupona. Benjamini amezungumza hayo alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari kutaka kujua kilichopelekea kifo cha baba yake kutokea alieleza kuwa […]

Read More..

Viongozi, Wasanii Pamoja na Wadau Wamlilia ...

Post Image

Viongozi, wasanii pamoja na wadau mbali mbali nchini wamlilia aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samweli Sitta aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani. Viongozi hao pamoja na wadau wameandika ujumbe mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuonyesha kuwa taifa limepoteza mtu muhimu. Makonda Asante baba umenifundisha uongozi,Siku […]

Read More..

Mwijage Kuwa Mgeni Rasmi Fainali Maisha Plu...

Post Image

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage, amekubali kuwa mgeni rasmi katika fainali ya Maisha Plus Afrika Mashariki 2016. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwijage alisema atahudhuria katika kijiji hicho na atafanya uzinduzi wa mashine ya kukobolea mahindi. Alisema amepata mwaliko wa kwenda katika Kijiji cha Maisha Plus na kazi kubwa ambayo ataifanya ni […]

Read More..