-->

Category Archives: Other Celebs

singers

Baada ya Miaka Sita Lady Jaydee Akutana na ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Ndi Ndi Ndi’ Lady Jaydee amekutana na msanii Ray C baada ya miaka sita. Baada ya kuonana Lady Jaydee alisema kila mtu anapitia magumu katika maisha kwa njia tofauti. “Kila mtu anapitia magumu katika maisha kwa njia tofauti hakuna jaribu lisilo na mlango […]

Read More..

Jinsi Ya Kutambua Simu Feki

Post Image

1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06#, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua. 2. Ukishaandika itaonyesha namba ya pekee (serial number) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) ambayo ni lazima ziwe tarakimu 15 au zaidi na ni lazima ianze na 35. 3. Angalia kwa makini kama namba unazoziona zinafanana moja kwa […]

Read More..

Soba Wazungumzia ‘Ubwiaji’ wa Chid Benz

Post Image

Ni wiki kadhaa tangu mkali wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ apelekwe kwenye Kituo cha Life & Hope Rehabilitation Organization (Soba House) kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani kwa ajili ya kupata huduma ya kuachana na utumiaji wa dawa za kulevya. Chid Benz alipelekwa kwenye kituo hicho chini ya uangalizi wa Promota, Babu […]

Read More..

Gardner Ashindwa Kitendawili cha ‘NDI...

Post Image

Ilikuwa ni mwendo wa majibu ya mkato na mafumbo kutoka kwa Gadner tulipotaka atupe mtazamo wake juu ya hit song “NDI NDI NDI” ya Jay Dee. Camera ya ENewz ilikutana na aliyekuwa mume na pia meneja wa mwanadada Lady Jay Dee, Gadner G Habash na kutaka kupata mtazamo wake juu ya wimbo mpya wa Lady […]

Read More..

Juma Nature Aniache Nitingishe – KR Mullah

Post Image

Msanii KR Mullah amefunguka baada ya msanii mwenzake wa kundi la Wanaume Halisi Juma Nature, kusema kitendo cha KR kujiunga na Radar Entertainment, huenda kitamuharibu asipokuwa makini. Akiongea na East Africa Radio kwenye kipindi cha Planet Bongo, KR Mullah amemtaka Juma Nature amuache kwa sasa afanye kazi, kwani kwa sasa anataka kubadilisha ladha ya muziki […]

Read More..

AMINI Atoboa Kile Kinacho Sababisha Wasanii...

Post Image

ALIYEWAHI kuwa mchumba wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga, Amini Mwinyimkuu ‘Amini’ amesema makundi mabaya wanayokuwa nayo baadhi ya wasanii ndiyo yanayowaingiza katika matumizi ya dawa za kulevya Msanii huyo anayetamba na wimbo wa ‘Hawajui’ alisema wasanii wengi hawajitambui kutokana na makundi waliyonayo, ndiyo maana hushindwa kusimamia hata kazi zao za muziki […]

Read More..

Dudubaya; Hili la Chid Benz Unakosea Sana B...

Post Image

GODFREY Tumaini ndilo jina lake la kuzaliwa, lakini Bongo Fleva inamtambua zaidi kama Dudubaya, ingawa mwenyewe alijitahidi kwa kila hali kujiita Duduzuri bila mafanikio. Dudubaya ni mmoja kati ya ma-legend wa muziki huu wa Kizazi Kipya. Ingawa naye aliwakuta watu ambao tayari walikuwa wameshaweka majina yao katika muziki huu, lakini bado yupo katika orodha ya […]

Read More..

Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Post Image

Msanii wa muziki wa dansi Ndanda Kosovo amefariki dunia asubuhi ya leo katika hosptali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwanamuziki mwenzake Kardinal Gento, Ndanda alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya vidonda vya tumbo, maradhi yaliyopelekea kulazwa katika hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam. Kardinali ambaye pia ni mjomba […]

Read More..

Najuta Kuachana na Mke Wangu wa kwanza – ...

Post Image

Mtangazaji wa Clouds FM, Gardiner G Habash amesema miongoni mwa vitu anavyojutia katika maisha yake ni kuachana na mke wa kwanza aliyezaa naye mtoto wa kike, Karen, ambaye kwa sasa yupo mwaka wa pili chuoni.   Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gardiner alisema kutokana na kubadilisha kazi ya awali na kuwa […]

Read More..

Kipini Puani kwa Diamond Chazua Gumzo Mtand...

Post Image

MFALME wa Bongo Fleva nchini anayekimbiza na ngoma yake ya Make Me Sing, Diamond Platnumz amejikuta kwenye wakati mgumu huku akishambuliwa kwa maneno kwenye mtandao wa Instagram baada ya jana Jumatano kuweka picha iliyomwonesha akiwa amevaa hereni. Picha hiyo ilizua sintofahamu kwa mashabiki zake huku wengi wao wakihoji imekuwaje na nini kimemsibu staa huyo kutoboa […]

Read More..

Wanawake Hatupendani Kabisa -Khadija Kopa

Post Image

Msanii maarufu wa taarabu nchini Khadija Kopa amewaasa wanawake nchini kupendana na kusaidiana ili kuweza kupiga hatua za kimaendeleo. Kopa ameyasema hayo aliposhiriki katika kipindi cha wanawake live kinachorushwa na EATV ili kuwajengea wanawake ujasiri wa kutafuta na kuepuka utegemezi hapa nchini. ”Wanawake hatupendani mimi ni mwana siasa nikiwa kwenye kura hatua za kupigiwa kura […]

Read More..

Alikiba Kugeukia Soka..! Je, Vipi Kuhusu Mu...

Post Image

Msanii Alikiba amefunguka kuhusu suala la yeye kuingia kwenye soka na kulisakata kabumbu, na kusema kuwa suala kama hilo linawezekana kwake.   Alikiba ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa radio, na kusema kuwa hivi karibuni kuna timu ya mpira imemfuata kumtaka kujiunga na timu hiyo, lakini atakuwa na […]

Read More..

Juma Nature Amuonya KR Kuhusu Kubwia ‘Unga’

Post Image

Kwenye mahojiano ya mwisho kati ya KR Mulla na eNewz, KR alijitambulisha kama Raisi wa Radar Entertainment, ambayo inamilikiwa na TID, na siku za karibuni TID na KR wameonekana kuwa marafiki ukiachilia mbali kufanya kazi pamoja ndani ya Radar Entertainment. Juma Nature ambaye aliwahi kufanya muziki ndani ya kundi la Wanaume Family pamoja na KR […]

Read More..

Dudu Baya Amuomba Radhi Shetta

Post Image

Msanii Dudu baya ambaye alikuwa na ugomvi na msanii mwenzake Sheta, na kumtolea maneno machafu kwenye kipande cha video kilichosambaa kwenye mitandao ya kijamii, amemuomba msamaha msanii huyo na kumtaka kuwe na amani kati yao. Kwenye ukurasa wake wa instagram Dudu Baya amepost picha ya Sheta huku akiandika ujumbe mrefu wa kumuomba radhi msanii huyo. […]

Read More..

Hii Ndiyo Mipango ya Diamond kwa Mwaka Huu

Post Image

Pamoja na kuwa tumekuwa tukimshuhudia Diamond Platnumz akitangaza kolabo na wasanii wa kutoka Marekani lakini hakuna hata moja tuliyoona hata cover yake,mwaka jana rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete alimuunganisha Diamond na meneja wa Trey Song na ikasema kuwa kuna kolabo itafuta hiyo ni mbali na Swizz Beats,Alicia Keys,Alaine,Kanye West na wengine,na hivi karibuni […]

Read More..

Gadner G Habash Arejea Clouds FM

Post Image

Mtangazaji mkongwe nchini, Gadner G Habash, amerejea tena kwenye kituo chake cha awali, Clouds FM. Gadner anajiunga tena na redio hiyo akitokea EFM alikokuwa akifanya kipindi cha jioni cha Ubaoni. Kabla ya EFM, Gadner alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Maskani cha Times FM. Mtangazaji huyo anatarajiwa kurejea kwenye kipindi chake cha jioni, Jahazi. Mtangazaji huyo […]

Read More..

Nuh Mizwanda Atoboa Alichokuwa Akikifanya k...

Post Image

Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuh Mziwanda amedai wakati yupo kwa Shilole alikuwa hafanyi muziki bali alikuwa akifanya mapenzi.   Akizungumza katika kipindi cha Clouds E, Jamatatu hii, Nuh alisema hali hiyo ilimfanya apotee kimuziki na kukiki zaidi kimapenzi. “Kwa Shilole nilikuwa nikifanya mapenzi sio muziki, ndio maana ukaona kwenye upande wa muziki sikuwa […]

Read More..

Wake Zangu Wananivuruga Akili-Mzee Yussuf

Post Image

Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yussuf amesema hakuna kitu kinamuumiza kichwa kama kutoelewana kwa wake zake wawili.   Akizungumza katika kipindi cha Sporah Show cha Clouds TV, Mzee Yussuf amesema anapitia wakati mgumu sana kuwamiliki wake wawili anaowapenda wakati wao hawapendani. “Kusema kweli napata wakati mgumu kuwahandle, yanii linanivuruga sana hili swala,” […]

Read More..