-->

Daily Archives: January 2, 2016

Wastara: Nahisi Mauti Yapo Karibu Yangu

Post Image

Soma vizuri ili uelewe vizuri Naanza kwa kumshukuru mungu wangu anaenipa pumzi ya bule mpka mda huu Sina budi kusema hya nitakayoyasema kwa ajili mwaka mpya unaonza kesho Ni miaka 4 na miezi 6 leo imetimia toka furaha yangu ilipoingia dosari Mungu alinipa mtu wa kunipa furaha couz kilakitu Alhamdulilah nilikuwanacho kulingana na nafasi yangu […]

Read More..

Le Mutuz Ajitapa Kutoka Kimapenzi na Amanda

Post Image

NISHAI! William Malecela ‘Le Mutuz’ juzikati aliumbuka baada ya kuposti ujumbe kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram, akijitapa kwamba amewahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji maarufu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’, jambo lililosababisha wachangiaji wamshukie vikali kwa maneno ya kuudhi. Katika ujumbe wake, Le Mutuz ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu […]

Read More..

Bifu la Diamond, Blue, Afande Sele Aibuka

Post Image

LILE bifu la kugombania jina la Simba ambalo linawahusisha wasanii nyota wa Bongo Fleva, Henry Samir ‘Mr Blue’ na Nasibu Abdul ‘Diamond’ lime­muibua mkongwe Suleiman Msindi ‘Afande Sele’ ambaye alikuwa kwenye mishe za siasa. Afande Sele maarufu Mfalme wa Rymes, aliyeku­wa akigombea Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini, amesema yeye ndiye mwanzilishi wa jina hilo […]

Read More..

‘Ninja’ Kisa cha Mapenzi Toka China Had...

Post Image

Ninja Revenge of Love ni kisa kinachomkuta Mr potlee ambaye mara baada ya kutoka China anaonekana na mwanamke wa kichina wakati Tanzania ana mwanamke ambaye ni askari wa jeshi la polisi Tanzania ,je nini kitatokea? Filamu ya Ninja Revenge of Love chini ya usambazaji wa Steps Entertainment itaingia sokoni kesho kutwa tarehe 04.01.2016. Jipatie nakala […]

Read More..

Shilole, Eddy Kenzo wa Uganda Penzi Jipya

Post Image

Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda. ‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole. ‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi […]

Read More..

Maneno ya Lulu kwa Mama Yake ni Fundisho To...

Post Image

Mwigizaji Lulu ameandika haya jana kwenye ukurasa wake mtandaoni, ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mama yake mzazi. The pic Says all…! Umenifundisha kujua thamani ya Mama Duniani,Umenifundisha urafiki wa kweli uko vipi,undugu WA kweli uko vipi. Pale ambapo wote walikimbia,walikuwa kinyume Na Mimi Wewe Ndo ulisimama . Naweza kuandika maneno Milioni lkn kiukweli hakuna […]

Read More..