-->

Daily Archives: January 7, 2016

Mkali wa Komedi, Nisha Kuja na ‘Kibok...

Post Image

UNAPOSIKIA tu jina la Nisha ambaye ni Salma Jabu jina la Kliniki ni mwanamke hatari katika fani ya uchekeshaji Nisha anafanya serious Comedy na kujitengenezea jina na pale popote inapotazamwa kazi ya filamu kutoka Bongo sasa anakuja na Kiboko Kabisa filamu fungua mwaka. January mwaka mpya 2016 na kitu kipya cha Historia kinakuja na si […]

Read More..

Lulu: Tekno Alijigonga Kwangu

Post Image

STAA wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameendelea kukanusha ‘ubuyu’ ulionea kuwa alivunja amri ya sita hotelini na msanii wa muziki wa Nigeria, Tekno Miles, akitoa maelezo yaliyotafsiriwa kuwa, kumbe mwanamuziki huyo ndiye aliyejigonga kwa mkali huyo wa sinema za Kibongo. Lulu alilazimika kukanusha habari hizo kufuatia kusambaa kwa picha zake na jamaa huyo ambaye […]

Read More..

Mama Fisso ‘The Iron Woman’ Anayepigani...

Post Image

MWAKA 2015 umemalizika na kuingia mwaka 2016 kukiwa na mafanikio kibao lakini kuna mashujaa waliosaidia tasnia ya filamu kuweza kuwa katika ramani na muonekano wenye hadhi ya kimataifa na kitaifa basi FC imeangazia na kumuona mtu mwenye mchango mkubwa katika tasnia ya filamu ni Bi. Joyce Fisso ‘Mama Fissoo’ Kwetu tumemuona kama The Iron Woman’ […]

Read More..

Profesa Jay Ashinda Kesi

Post Image

Mahakama Kuu kupitia Mheshimiwa Jaji IGNAS KITUTSI asubuhi ya jana imetupilia mbali maombi madogo ya kesi ya kuomba kupunguziwa gharama za dhamana ya kesi iliyofunguliwa na mwanasiasa Jonas Nkya dhidi ya msanii/mbunge Joseph Haule (Profesa Jay). Mahakama imetupilia mbali kesi hiyo na kukubaliana na hoja za mapingamizi ya kisheria yaliyowekwa na jopo la mawakili wa […]

Read More..

Wolper Akiri Kujipendekeza kwa Diamond na Z...

Post Image

BAADA ya kupata wakati mgumu wa kushambuliwa na maneno kila akiweka picha mtandaoni ya Diamond ama Zari, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ ameweka wazi kwa kuwajibu, haoni tatizo kujipendekeza kwa hao watu. Akichezesha taya na Amani, Wolper alisema kuwa, ilifika kipindi katika ukurasa wake wa Instagram watu wengi walikuwa wakimshambulia kwa maneno na […]

Read More..

Nyumba Mbili za Wastara Kupitiwa na Bomoa B...

Post Image

Muigizaji wa filamu, Wastara Juma amejikuta katika wakati mgumu tena baada ya nyumba zake mbili kupitishiwa X kwaajili ya kubomolewa siku zijazo. Katika ukurasa wake wake wa Facebook, Wastara ameandika: Mashabiki wangu mwaka umeanza vibaya kwangu nyumba zangu mbili zimewekwa X na zitabomolewa siku yoyote kuanzia leo,siko sawa kabisa niombeeni dua presha imepanda,nawapenda sana Akiongea […]

Read More..

Uwoya Hapendi Kutaja Gharama ya Vitu Vyake

Post Image

MSANII wa filamu za nchini, Irene Uwoya, amefunguka na kusema hapendi kuweka wazi mambo yake binafsi kama ilivyo wasanii wengine. Msanii huyo alisema kuwa kuna baadhi ya wasanii ambao wanapenda kuweka kila kitu chake ambapo haina maana yoyote kwa jamii. Akizungumza na MTANZANIA, msanii huyo alisema anapendelea kufanya mambo yake kwa siri na sio kuweka wazi kwenye […]

Read More..