-->

Daily Archives: January 11, 2016

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na k...

Post Image

January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa naLionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo. FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona yaHispania Lionel Messi kuwa ndie mshindi […]

Read More..

Naweza Kuuza Movie Zangu Bila Kumtegemea Mh...

Post Image

Msanii wa filamu aliyetamba kwenye Bado Natafuta, Gabo Zigamba amesema filamu yake mpya ‘Safari ya Gwalu’ aliyoisambaza mwenyewe kupitia kampuni yake ya D Entertainment, imemfanya agundue kuwa kusambaza mwenyewe filamu kuna manufaa zaidi kuliko kupeleka kwenye makampuni binafsi ya usambazaji. Gabo ameiambia Bongo5 kuwa mpaka sasa tayari filamu yake imeshasambazwa Tanzania nzima na ameuza nakala […]

Read More..

‘Kwa Heri Mwaka 2015 Karibu 2016’ Makal...

Post Image

UMEMALIZA mwaka 2015 tupo mwaka 2016 ambao kuna baadhi wanajenga matumaini huku wengine wakisubiri kama mimi kuona majaliwa ya mola kama kutakuwa nan a unafuu au ndio balaa zaidi katika tasnia ya filamu mwaka jana hali haikuwa shwari baada ya wasanii kupotea. Soko la filamu limeshuka sana huku kukiwa na sababu ambazo si za kitafiti […]

Read More..

Mguu Wamzima Stara Kisiasa

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki Stara Thomas, amesema kuwa aliyokuwa amepata katika mguu imezima ndoto yake ya kuingia katika siasa katika kipindi cha uchaguzi kilichopita. Stara aliyekuwa na mpango wa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum huko Mwanza ambapo ni nyumbani kwao, katika mahojiano aliyofanya na Planet Bongo ameeleza kuwa, harakati za kisiasa zinahitaji mtu […]

Read More..

Mzee Majuto Aibukia Kwenye Bongo Fleva

Post Image

Vunja mbavu! Komediani the big name Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’ (68) ameibukia kwenye Muziki wa Bongo Fleva baada ya kushirikishwa kwenye ngoma inayokwenda kwa jina la Baba na Mjukuu Wake (mtoto wa mtoto wake wa kumzaa), Emmanuel Ernest ‘Dady.’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Mzee Majuto, mbali na kumsifia Dady […]

Read More..

Mr Aomba ieleweke Kuwa Hana Ugomvi na Diamo...

Post Image

Mr Blue amesema hana tatizo na Diamond Plutnumz licha ya hivi karibuni kuibuka sintofahamu katika mitandao ya kijamii juu ya nani mmiliki halali wa jina ‘Simba.’   Blue ambaye anajipanga kuachia wimbo mpya akiwa na Alikiba mwezi huu, amekiambia kipindi cha The Weekend Chart Show cha Clouds TV kuwa aliamua kuweka wazi kwa umma juu […]

Read More..