-->

Daily Archives: January 15, 2016

Wastara Atengwa Bongo Muvi

Post Image

DAR ES SALAAM: Baada ya staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma kufunga ndoa na mheshimiwa Sadifa Juma, anadaiwa kutengwa na wasanii wenzake wa Bongo Muvi hasa wale waliokuwa karibu naye katika zoezi la kumchangishia fedha za matibabu aliyokuwa akitarajia kwenda kuyafanyiwa nchini India. Sosi wa ndani ya Bongo Muvi alilinyetishia Ijumaa kwamba, baadhi ya […]

Read More..

Faiza :Watu ‘Fake’ Wana Haribu Vizazi V...

Post Image

Hakuna kitu nachukia duniani kuliko vyote kama watu fake – watu fake duniani wana haribu vizazi vyetu…..wanatabia zote mbaya na umaskini juu maana unapo kuwa fake unakua mjinga na ujinga ni umaskini na hata kutoka kimaisha ni ngumu na ukitoka hata ukiwaje mwisho wa siku unarudi chini coz watu fake there is where they belong- […]

Read More..

Masanja: Nimenunua BMW X6 Kama Mtu Mwingine...

Post Image

Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwa pesa yake halali huku akishangaa kwanini watu wameshtuka baada ya kuona anamiliki BMW yenye plate namba ya jina lake. Akizungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds TV Ijumaa hii, Masanja alisema anamiliki magari mengi huku akidai BMW X6 ameinunua kama mtu mwingine […]

Read More..

Maprodyuza Wasiosajiliwa Kukiona cha Moto

Post Image

KAIMU Mwenyekiti wa Chama cha Maprodyuza Tanzania, William Mtitu, amesema hakuna prodyuza atakayeruhusiwa kufanya kazi ya kutengeneza filamu ndani na nje ya nchi kama hatasajiliwa na chama hicho. Mtitu alisema chama hicho kimeamua hayo ili kuondoa filamu zisizo na ubora katika soko la filamu nchini ambalo anadai limejaa filamu zisizo na ubora hali inayopelekea kudharauliwa […]

Read More..

Lulu: Mama Amenistiri Sana!

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa hakuna wa kumthamini na kumheshimu hapa duniani zaidi ya mama yake kwani ndiye mtu pekee aliyempa faraja ya kweli katika maisha magumu aliyopitia. Akizungumza kwa uchungu Lulu alisema, mama yake pekee ndiye aliyemuona ana thamani wakati watu wengine wakimuona ni mchafu wa maneno na hafai kabisa […]

Read More..

Chuchu Hans Akanusha Kugombana na Johari Ki...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Chuchu Hans amekanusha kugombana na Johari Chagula baada kuibuka madai kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao hawaelewani kisa Vicent Kigosi aka Ray.   Chuchu aliyesema pia kuwa uhusiano wake na Ray hauna tatizo, amekiambia kipindi Take One cha Clouds TV Jumanne hii kuwa, hana tatizo na Johari na mara nyingi […]

Read More..

Stan Bakora: Vijana Tusipende Mteremko

Post Image

MKALI wa vichekesho nchini, Stanley Yusuph ‘Stan Bakora’, anatarajia kuachia filamu yake ya kwanza itakayoitwa ‘Shobodundo’ iliyobeba mafunzo kwa vijana wanaopenda maisha mazuri bila kujishughulisha. Stan Bakora alisema kutokana na hilo vijana wengi wamejikuta wakilazimika kulelewa na wanawake watu wazima wenye uwezo mkubwa kifedha bila kujali kwamba wao ni nguvu kazi ya taifa. “Kiukweli hii […]

Read More..