-->

Daily Archives: January 19, 2016

Kajala Adaiwa Kunasa Ujauzito wa Kigogo

Post Image

DAR ES SALAAM: Good news? Huenda mambo yanaweza yakawa yamejipa kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ kwani kuna taarifa zinadai kuwa mwigizaji huyo amenasa mimba ya kigogo serikalini. Chanzo makini kilicho karibu na staa huyo ambaye ana mtoto mmoja aliyezaa na prodyuza mkongwe Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk’ (Paula), kimepenyeza ubuyu huo kuwa Kajala ana mimba […]

Read More..

Baada ya Shiole na Nuh Mziwanda Kukutanishw...

Post Image

Ijumaa iliyopita kupitia kipindi cha WikiendChartShow cha Clouds Tv kiliwakutanisha Nuh Mziwanda na Shishi ambao wameachana,Je? Kuna uwezekano wapenzi hao wakarudiana? ’Nimeficha mambo yake mengi sana kwa maslahi ya penzi letu,yeye anajua mambo gani aliyokuwa akinifanyia ambayo alikuwa hastahili kunifanyia kama mpenzi wake,alikuwa akinichukulia poa tu,nilikuwa nikionekana mwanaume mbele za watu lakini haikuwa kweli,nilikuwa naumia […]

Read More..

Filamu ya Kiboko Kabisa ni Zawadi kwa Funs ...

Post Image

MCHEKESHAJI mahiri katika tasnia ya filamu Salma Jabu ‘Nishabebee’ amesema moja ya sababu ya yeye kuwa mahiri ni kutokana na kuwasikiliza mashabiki zake wanahitaji sinema gani ndio imemfanya asishuke na kuwa nyota na kwa kuliona hilo anakuja na filamu ya Kiboko Kabisa kuukaribisha mwaka 2016. “Nimejifunza kitu wapenzi wa filamu zetu wanalalamika kuhusu hadithi zetu […]

Read More..

Kujiunga na Vyama vya Filamu ni Lazima- TAF...

Post Image

RAIS wa shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amewataka wadau wote wa filamu kuhakikisha wanajiunga na vyama vya ambavyo vinajihusisha na utengenezaji wa filamu kwani ni lazima na wala si suala la hiari tena. “Kwa sasa tutakuwa wakali sana lazima tuwe na mfumo unaofuata sheria hakuna mtu ambaye ataweza kufanya kazi bila kuwa na […]

Read More..

Vita Kali ya Maneno Mtandaoni Kati ya Zari ...

Post Image

Ni muendelezo wa vita ya maneno isiyoisha kati ya anayejiita Zari The Bosslady na wa kuitwa Tanzanians sweetheart Wema Sepetu. Vita hiyo imeendelea leo kwa Zari kuanza kumtupia mafumbo mwenzie Wema,wapambe wa Wema wakacharuka na kumuita boss wao Wema ambaye alitaharuki na kuuliza kipi kinachoendelea? Ndipo mpambe wake anayejiita wemareplies alipomuwekea screen shot ya aliyoyasema […]

Read More..

Unafahamu Unayoyapata Kwenye Pombe? Jua Cha...

Post Image

Kubwa na zuri la kwanza ni kuburudika na kufurahi. Hakuna maisha bila furaha. Dunia ni njema tukifurahi. Hata kwenye harusi ya Kana Yesu aligeuza maji mitungini ikafanywa wine safi na harusi ikanoga. Ila kuna yanayoletwa na pombe ingawa hatuyakusudii. Hatuyapendi pia. Kwenye kupunguza uzito hatukukatazi chochote. Tunakuelekeza na unaelewa unafanya maamuzi binafsi. Mimi nimefanikiwa kuondoa […]

Read More..

Ndauka Aingia Kwenye Usimamizi wa Muziki

Post Image

Mwigizaji Rose Ndauka amesema kuwa, baada ya kuguswa sana na kuoa vipaji kwa wasanii wengi chipukizi, ameamua kuwekeza katika kusimamia vipaji hivyo kuhakikisha kuwa anatimiza ndoto zao za kufanikiwa kisanaa, akisimama kama Meneja. Rose amesema kuwa, kwa sasa ana wasanii wanaofikia 10, akiweka wazi kwa mashabiki wake kuwa ataanza rasmi kwa kumtambulisha msanii wake wa […]

Read More..