-->

Daily Archives: July 3, 2016

Amanda Awafungukia Mastaa Wabwia Unga

Post Image

AMANDA Poshi, staa wa sinema za Kibongo, amewabwatukia baadhi ya mastaa wanaojitangaza kuwa wanatumia madawa ya kulevya baada ya kuathirika kuwa ni wanafiki. Alisema angewaona wana hoja kama wangejitangaza kipindi walipoanza kuyatumia kuliko wakiona yanawashinda ndiyo wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kuomba msaada. “Yaani kila siku wanaambiwa kuwa usipite hapa kuna hatari lakini wao wanakimbilia […]

Read More..

Abdu Kiba:Wasanii wa WCB Wanabebwa na Promo...

Post Image

Abdu Kiba amesema kuwa promotion ndiyo inawabeba wasanii wa lebo ya WCB. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, “Sijafikiria kuimba na msanii kutoka WCB, kwa sababu sijaona anayeimba type ya muziki wangu.” “Hata kama wana promote kwa sababu ndiyo walipoona wao ndiyo wanaweza wakafanya na watu wakaweza kuelewa lakini siku zote ajuae […]

Read More..

Ruby Amjia Juu Said Fella

Post Image

Baada ya Saidi Fella kumzulia jambo msanii Ruby ameibuka na kusema hakuwa na msongo wa mawazo wala nini ila haraka haraka zao ndizo zilisababisha asionekane kwenye video ya ngoma ya Bendi ya Yamoto. Baada ya mkubwa Fella kuzungumza na eNewz na kutufahamisha kuwa mwanadada Ruby ana msongo wa mawazo, kitu ambacho kilipelekea uongozi wa Bendi […]

Read More..

Diamond Ampa Heshima Alikiba

Post Image

Meneja wa Diamond, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records. Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond na Alikiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za mitandaoni za kukejeli mafanikio ya msanii wa team […]

Read More..