-->

Daily Archives: February 24, 2017

Wastara Atapeliwa Mamilioni

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma (pichani) amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutapeliwa mamilioni ya fedha na kampuni moja ya simu ya Wachina baada ya kuingia nao mkataba wa kuwa balozi wao hapa nchini. Wastara aliingia mkataba na Wachina hao mwaka jana ambapo alitakiwa awe analipwa shilingi milioni 400 kwa mwaka lakini ghafla […]

Read More..

VIDEO: Mzee wa Upako Amuonya Nay wa Mitego ...

Post Image

Baada ya hivi karibuni msanii wa hip hop, Nay wa Mitego kutangaza kuwa atafungua kanisa lake ambalo litakuwa si la biashara bali ni la kumuabudu Mungu aliye hai, Mchungaji maarufu nchini, , Lusekelo Anthony aka Mzee wa Upako amemuonya kutomchezea Mungu. Mzee wa upako ameyasema hayo alipotafutwa na E-News ya EATV baada ya kuulizwa maswali […]

Read More..

Jackline Wolper: Marafiki Wapya Hutuharibia...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Jackline Wolper, ameweka wazi kwamba hataki kusikia habari za kuwa na marafiki wapya, kwa madai kwamba ndio wanaoharibu misingi ya maisha yake. Wolper aliliambia MTANZANIA kwamba, wakati wa kupata marafiki wapya huwa mzuri, lakini baadaye hujikuta katika matatizo yasiyokwisha. “Sisi mastaa tuna kazi kubwa, kila siku tunakutana na marafiki wapya […]

Read More..

VIDEO: JPM Ajitokeza Kumsaidia Neema Mwita

Post Image

Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa juhudi kubwa walizofanya kunusuru maisha ya Neema Mwita Wambura ambaye alijeruhiwa kwa kuunguzwa na maji ya moto kifuani, shingoni na mkononi. Pongezi hizo za Mhe. Dkt. Magufuli zimetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Bw. Gerson Msigwa muda […]

Read More..

VIDEO: Uwoya afungukia Kutoka na Harmorapa

Post Image

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye hajawahi kutoka kimapenzi na Harmorapa na wala hajawahi kukutana na msanii huyo bali amekuwa akimsikia tu akifananishwa na Harmonize na hajawahi hata kukutana naye. Akiongea kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachoruswa mubashara kila siku ya Jumatano kwenye ukurasa wa facebook wa EATV, Irene Uwoya amesema […]

Read More..

Video: Alikiba Alivyovutia mashabiki Kwenye...

Post Image

Alhamis hii, Alikiba alialikwa na ubalozi wa Marekani nchini Afrika Kusini pamoja na IBM kwenda kuhudhuria uzinduzi wa filamu iitwayo, Hidden Figures. Kwenye uzinduzi huo, Kiba alikuwa kivutio kikubwa cha mashabiki waliohudhuria. “It was a heartfelt experience spending the evening with girls who were recently rescued from child trafficking. I pray for your peace and […]

Read More..

Mkutano wa Wema Sepetu na Waandishi wa Haba...

Post Image

Miss Tz 2006, Wema Sepetu na familia yake wamefanya leo mkutano na waandishi wa habarinyumbani kwao Sinza-Meeda. Wema Amewasili na Kuanza Kuongea kama ifuatavyo: ⁠ ⁠Mama wema: Habari za mchana, nawakaribisha ⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠Wema: Kwa jina naitwa Wema Sepeti Isack Abraham ⁠⁠⁠⁠ ⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠Wema: Naomba mnisamehe kwa kufika kwa kuchelewa ⁠⁠⁠⁠ ⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠Wema: ⁠⁠⁠Sitakuwa na mengi ya kuongea, nataka […]

Read More..