-->

Daily Archives: April 6, 2017

Mizengwe, Kundi Pekee La Comedy Lililosalia...

Post Image

Kikundi cha kash kash, kinajojishughulisha na shughuli za sanaa kwa kucheza ucheshi unaojulikaba kama Mizengwe ndio kikundi pekee hivi sasa kilichobakia kwenye tasnia ya ucheshi kwa kuweza kuendelea kuiburudisha jamii kupitia vichekesho vyao! Kikundi hicho kilichojaliwa kuwa na wachekeshaji wenye vipaji akiwemo mkwere original, maringo7, safina na wengineo wameweza kutawala na kukiimarisha kikundi hiki kwa […]

Read More..

Mwanamuziki wa Ubelgiji Atua Nchini Kufanya...

Post Image

Dar es Salaam. Mwanamuziki Kriticos kutoka Ubelgiji amewasili nchini kwa ajili ya kutengeneza wimbo wa pamoja na mwanamuziki Harmorapa. Kriticos ambaye anaimba miondoko ya kufokafoka, (rap) amesema ameupenda uimbaji wa Harmorapa na ndiyo sababu ya kuamua kufanya naye kazi. Aliyazungumza hayo muda mfupi baada ya kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere leo mchana. Kwa […]

Read More..

Wauzaji wa Filamu za Nje Wapewa Siku 10 Kua...

Post Image

WAUZAJI wa filamu za nje wamepewa siku kumi wawe wameachana na biashara hiyo kwani haifuati utaratibu kisheria na kuwaacha wasanii ambao ndio wanaofuata vigezo vya uuzaji wa filamu kuwa maskini pamoja na kufanya kazi kubwa hayo oda hiyo imetolewa na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Akiongea mbele ya Kamanda Simon Siro […]

Read More..

Diamond Awakata Midomo Wanaodai Nillah Sio ...

Post Image

Kupitia mtandao wa Instagram, msanii Diamond Platimuz ameweka picha za watoto wake, Tiffah na Nillan na kuandika maneno akiwaasa watumie vyema midomo yao. Prince & Princess Lion!!!.. Midomo mkaitumie vizuri hiyo watoto….?-Diamond ameandika Ujumbe amabao wengi wamaeuchukulia kuwa ni jibu kwa wale wote ambao walikuwa wakidai kuwa Nillan siyo mtoto Diamond na kuwa ni mtoto […]

Read More..

New Video: GaraGasha By Azma f/ Jongwe (Sug...

Post Image

New video kutoka kwa  msanii Azma Mponda akiwashirikisha Sugu, Izzo Bizness na Abela Music. Wimbo unakwenda kwa jina la Garagasha, Video imeongozwa na Andy Zabron Snr huku wimbo ukitayarishwa na Gwesa,Kita na Alfizoh.    

Read More..

Roma Mkatoliki na Moni Watekwa!

Post Image

Rapa Roma Mkatoliki ambaye hivi sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Usimsahau mchizi’  msanii mwenzake na Moni Central Zone wamekamatwa na kupelekwa kusikojulikana na watu wasiojulikana. Katika taarifa iliyotolewa na msanii Prof. Jay ambay pia ni mbunge wa Mikumi inasema msanii huyo alikamatwa jana akiwa studio. Prof. Jay ameandika katika ukurasa wake wa Facebook kuwa […]

Read More..