-->

Daily Archives: August 25, 2017

Wema Sepetu Kuachia Filamu ya Mil. 40 Leo

Post Image

STAA ‘grade one’ kunako filamu Bongo, Wema Sepetu amewajibu watu wanaoendelea kumsema kuwa hajui kuigiza kwamba, wajaribu kutupia jicho la tatu kwenye filamu yake mpya ya Heaven Sent ambayo inatoka leo (Ijumaa) ikiwa imetengenezwa kwa gharama ya shilingi milioni 40.   Akizungumza na Ijumaa, Wema alisema kuwa ameamua kutumia kiasi kikubwa cha pesa ili filamu […]

Read More..

Matuta Yalifanya Nijifiche -JB

Post Image

MSANII nguli wa filamu za Bongo na shabiki wa klabu ya Simba, Jacob Steven ‘JB’, amesema wakati timu yake ilipoingia hatua ya matuta katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Taifa juzi, hakuweza kuangalia na badala yake alijificha. Akizungumza na MTANZANIA mara baada ya mchezo huo kumalizika, JB alisema pamoja […]

Read More..

Harmorapa Ampa Makavu P-Funk Majani

Post Image

Msanii wa hip hop bongo Harmorapa, amefunguka juu ya kitendo cha kumchana mtayarishaji wa muziki ambaye iliaminika anamkubali zaidi, na kukiri kuwa kwa sasa hayuko vizuri na P Funk. Akizingumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Harmorapa amesema kwa sasa hawana mawasiliano mazuri na P Funk, kwani kuna mambo ambayo yalitokea, yaliyosababisha kutoelewana kwao, […]

Read More..

VIDEO:TANROADS Yadai Kutopata Zuio la Mahak...

Post Image

Dar es Salaam. Wakati Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kikilaani Kitendo cha Wakala wa Barabara Mkoa wa Dar es Salaam (Tanroads) kubomoa nyumba ambazo zina kinga ya mahakama, taasisi hiyo ya Serikali imeendelea na kazi hiyo kwa kuwa haijapewa zuio. Lakini meneja wa Tanroads wa Dar es Salaam, Julius Ndyamkama amesema hatua hiyo […]

Read More..

Nawaonea Huruma Wanaume- Wolper

Post Image

Malkia wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amefunguka na kusema hawezi kutoka kimapenzi na wanaume ambao wameoa kwa madai anahofia wanaweza wakatelekeza familia zao kwa maana yeye akichukua kitu huwa hawi lelemama hata kidogo. Wolper amebainisha hayo wakati akipiga stori na mmoja wa watangazaji wa kipindi cha Planet Bongo ya East AFrica Radio, Big Chawa na […]

Read More..

Itazame Hapa Video Mpya ya Alikiba

Post Image

Msanii Alikiba amevunja ukimya wake leo 25 Agosti 2017 kwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Seduce me’ ambayo imekuja moja kwa moja na video zake. Wimbo huu wa Alikiba umetengenezwa na mtayarishaji wa muziki kutoka Tanzania Man Water Itazame hapa video hii mpya  ya Alikiba

Read More..