-->

Daily Archives: September 27, 2017

Wema Sepetu Afungukia Kutajwa kwenye Nyimbo...

Post Image

Mlimbwende Wema Sepetu ambaye wengi humuita msanii mwenye nyota yake, amesema watu wanamfanyia vitu vya ajabu ili kujinufaisha likija suala la kuimba muziki, kwani kwake jambo hilo limeshindikana kabisa. Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Wema amesema yeye hana mpango wa kuingia kwenye muziki, na hata wimbo wa Haitham alioshirikishwa hakuimba, lakini wamemgeuka na […]

Read More..

Mwanamke lazima uwe na nyama-Shilole

Post Image

staa mrembo wa bongo m ovie na bongo fleva, Shilole amefunguka kwa kusema kuwa mwanamke lakina uwe na maumbile manene ili kumvutia mwanaume. Shilole ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Kigori’, ameiambia XXL ya Clouds Fm kuwa siyo sifa mbaya kunenepa hasa kwa mwanamke na kitu ambacho anajivunia. “Mwanamke lazima uwe na sehemu mwanaume […]

Read More..

Video: Wema sio wife material, sidhani hata...

Post Image

Muigizaji wa filamu, Rado amefunguka kwa kudai kuwa Wema Sepetu sio aina ya wanawake ambao anaweza kuoa kutokana na jinsi alivyo. Muigizaji huyo ambaye ameigiza filamu moja na Wema Sepetu iitwayo, Madame, amedai mrembo huyo wa filamu ni mlegevu na ni mtu wa kudeka muda wote. 

Read More..

Nuh Mziwanda Atoboa Kilichovunja Ndoa Yake

Post Image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Nuh Mziwanda ambaye jina lake la kuzaliwa ni Naftal Mlawa, ni mmoja kati ya vijana wanaofanya vizuri katika ulimwengu wa Bongo Fleva kwa sasa. Miaka michache iliyopita, jina lake lilikuwa kubwa katika vyombo mbalimbali vya habari, lakini si kwa muziki, bali kwa uhusiano wake wa kimapenzi uliopata […]

Read More..

Kama Kweli! Diamond Ana Balaa Sasa

Post Image

MSHINDI wa Big Brother Afrika mwaka 2013 kutoka Namibia, Dillish Mathews inasemekana kuwa ni mjamzito hasa baada ya picha kuweka katika mtandao wa Instagram akiwa kashikilia tumbo huku akiuliza kuwa ni mtoto au baga? Hali hiyo imeibua mengi na watu wengi wamehisi kwamba kama Dillish ni mjamzito basi itakuwa Diamond Platnumz anahusika kwa sababu inasemekana […]

Read More..