-->

Author Archives: chery

Ronaldo Apasuliwa Uso, Madrid Ikishinda 7-1

Post Image

LICHA ya ushindi wa bao 7-1 dhidi ya Derpotivo la Coruna walioupata Real Madrid katika La Liga, mshambuliaji wake, wa Kimataifa Raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo alikutana na dhoruba baada ya kuumia kwa kupasuka usoni. Ronaldo aliumia kwa kuchanipa sehemu ya usoni baada ya kugongwa wakati akijaribu kufunga. Alikuwa ameruka kichwa kwa lengo la kufunga […]

Read More..

DIAMOND PLATNUMZ: Rwanda ni Nyumbani pia.

Post Image

Msaani Naseeb Abdul Juma aka DIAMOND PLATNUMZ alihojiwa hivi karibuni kwenye luninga ya Rwanda (Exclusive Interview) RTV na akawamwagia sifa Kem Kem Mashabiki zake kutoka Rwanda kwa jinsi wanavyompa support katika kazi zake ya Kisanii na pia ununuzi wa bidhaa zake. Alisema ” Rwanda is my Second Home ” akiwa anamaanisha Rwanda ni Nyumbani kwake pia. […]

Read More..

Kuna Wakati Unatakiwa Ushindwe ili Ushinde ...

Post Image

Msanii wa muziki Bongo, Ruby ameamua kuwatia moyo watu ambao wamekata tamaa na vitu wanavyovifanya. Mrembo huyo mwenye sauti adimu ametoa rahi hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuwaandikia ujumbe usomekao ‘Sometimes you gottaloose to win again #jesusdidit #TZBIRD?? #mwakawamaajabu’ ujumbe huu umekuja ikiwa ni siku chache kupita tokea kuachiwa […]

Read More..

Sholo Mwamba ni Mfa Maji”- Man Fongo”

Post Image

Msanii wa miondoko ya singeli Man Fongo amesema hawezi kukaa na kumzungumzia Sholo Mwamba kwa madai yeye ni mfa maji ndiyo maana haishi kutapa tapa kila uchao kumtaja. Man Fongo ameeleza hayo baada ya masaa machache kupita tokea kuonekana kwa ‘video’ ya Sholo iliyorushwa na EATV katika kipindi cha ‘FRIDAY NIGHT LIVE’ (FNL) usiku wa […]

Read More..

Wolper Ageuka Kungwi

Post Image

Msanii wa filamu bongo ambaye sasa amegeukia ujasiriamli, Jackline Wolper, amewapa somo mabinti na kuwafunda juu ya kujishughulisha ili kujipatia kipato chao, na hatimaye waweze kuheshimika. Akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Jackline Wolper amesema ni wakati sasa mabinti kuacha kutegemea pesa wanazopewa na wanaume, na badala yake wajishughulishe ili kutengeneza pesa […]

Read More..

JUX amwaga mahela kwa Vanessa avunja record...

Post Image

January 20, 2018 Mwimbaji Staa wa kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee amekutana na mashabiki wake  Mlimani City Dar es salaam na kuwauzia album yake mpya ya Money Mondays, JUX naye alikuwepo na alinunua CD 25. Jux amesema kuwa amenunua CD 25 nyingine atawapa mashabiki wake lakini pia amefanya hivyo kwa ajili ya kumsupport Vanessa Mdee, msikilize […]

Read More..

TBT Video: Shabiki alivyopigana na mabaunsa...

Post Image

Alhamis ya  January 18,2018  wengi huiita siku hii Throw Back Thursday yani TBT ambapo hujikumbusha vitu vilivyopita, nimekutana na video clip ya miaka iliyopita ikimuonyesha staa wa  Bongofleva Diamond Platnumz  akiwa katika show ya utafutaji ili muziki wa Bongo Fleva uweze kufika mbali kimataifa na moja kati ya mashabiki akipigana na mabaunsa ili amshike tu Diamond Platnumz. […]

Read More..

Iren Uwoya, Dogo Janja Wamfariji Johari Kwe...

Post Image

SO SAD! Kufuatia kifo cha mama mzazi wa Staa wa Bongo Movies, Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’, Bi. Asha Chagula, maeneo ya Mburahati, jijini Dar wasanii wenzake Dogo Janja na mkewe Irene Uwoya jana walipata fursa ya kumtia moyo na kumpa nguvu ambapo walimtaka asikate tamaa na achukulie ni hali ya kawaida inayoweza kumtokea binadamu […]

Read More..

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Kufunga Ndoa

Post Image

BAADA ya staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kufunga ndoa na Uchebe, msanii anayekimbiza na Ngoma ya Give It To Me, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefungukia upande wa maisha yake kwamba acha waoane wao lakini kwake noo! Akizungumza na Showbiz, Lulu aliyewahi kuwa muuza nyago kwenye video za Kibongo alisema kuwa, hafikirii […]

Read More..

Alikiba Ashambuliwa na Mashabiki Kisa Lulu

Post Image

KATIKA kile kilichoonekana kwamba amemkumbuka aliyewahi kuwa mpenzi wake zamani ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, Elizabeth Michael ‘Lulu’, staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba hivi karibuni alishindwakuficha hisia zake na kuweka picha ya mrembo huyo ambapo baadhi ya mashabiki walimshambulia huku wengine wakimpongeza. Kiba aliweka picha hiyo ya Lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram […]

Read More..

Idriss Mapenzi Yamtesa Sasa Amkumbuka X- Wa...

Post Image

Mshindi wa Big Brother Afrika 2014 Idris Sultan ameonyesha kumkumbuka mpenzi wake wa zamani aliyempata wakati wakishiriki shindano la Big Brother 2014 ambaye ni Samantha Jannsen ambaye anatokea nchini Afrika Kusini. Idris amepost video clip kwenye Instagram page yake akiwa na Samantha licha ya kwamba Idriss na Samantha wameachana miaka kadhaa iliyopita na kuandika hivi […]

Read More..

VideoMPYA:Kwa mara nyingine tena Lava Lava ...

Post Image

Msanii Lava Lava kutoka record label ya WCB amezidi kuonyesha kipaji chake kwa kutoa nyimbo mpya kila kukicha na right now anakualika kuitazama hii mpya nyingine “Utatulia”

Read More..

Dancer WCB mwenye miaka 19 ameeleza jinsi a...

Post Image

Angel Nyigu ni Dancer wa msanii Queen Darleen ambaye yupo kwenye Record Label ya WCB ana umri wa miaka 19 ameelezea jinsi alivyopata nafasi ya kuingia WCB na jinsi alivyoanza kuwa Dancer na matamasha makubwa aliyowahi kupanda stejini na kuonesha uwezo wake.

Read More..

Zari amuuliza Diamond “Madale state lodge...

Post Image

Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekena Tunda ana mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platnumz kutokana tu na ukaribu walionao wawili hao. Zari the boss lady ambaye ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz ameonekana kupata taarifa hizo kuhusiana na tetesi zinazoendelea katika mitandao ya kijamii na kuamua kuandika […]

Read More..

Penzi Motomoto la Dulla Makabila na Sajent ...

Post Image

MSANII wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ ambaye alikuwa kwenye mapenzi motomoto na msanii wa singeli Dulla Makabila, uhusiano wao unadaiwa kuvunjika kutokana na kutofautiana kwenye baadhi ya mambo. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wawili hao sasa si wapenzi wameshatemana ila wamekuwa wakifanya siri jambo hilo, kukwepa aibu kwa jinsi walivyokuwa wameshibana, ambapo Sajent alipotafutwa […]

Read More..

VIDEO: Ronaldinho ametangaza kustaafu, jiku...

Post Image

soka wa kimataifa wa Brazil Ronaldinho Gaucho leo ametangaza rasmi kustaa kucheza soka la ushindani baada ya kudumu katika soka la ushindani kwa zaidi ya miaka 15, Ronaldinho amefikia maamuzi hayo baada ya kucheza soka kwa muda mrefu na sasa anaamini inatosha. Ronaldinho hadi anatangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 37, amecheza […]

Read More..

Moni Amfungukia Roma

Post Image

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Moni Centrozone amedai kwamba Roma Mkatoliki hana mchango wowote katika maisha yake ya muziki kama watu wanavyofikiria. Rapa huyo kutoka Dodoma, amesema kwamba hawezi kumzungumzia Roma kwa jinsi yoyote kwenye sanaa yake na hata kolabo watu wanayofikiria kuwa ilimpa msaada wa kumtambulisha wanakosea kwani haijam[patia lolote zaidi ya dhahama. […]

Read More..

Shilole Atoa ya Moyoni..

Post Image

MSANII wa muziki wa mduara, Zuwena Mohammed maarufu kwa jina la Shilole ametoa kauli ngumu wakati wa sherehe yake iliyofanyika usiku wa kuamkia jana Jumatatu, akisema watu wengi walikuwa wakidhani kwamba hamaanishi kuhusu kufunga ndoa na mpenzi wake Uchebe na kuwataka sasa waamini uamuzi wake huo. “Namshukuru Mungu nimepata mume anayeijua dini, amenifichia aibu yangu. […]

Read More..