VideoMpya: Nimeipata hii ya Fally Ipupa ame...

Fally Ipupa ameingia kwenye headlines za burudani baada ya kumshirikisha staa wa Marekani R. Kelly katika wimbo wake ‘Nidja Karibu uitazame hapa
Read More..Fally Ipupa ameingia kwenye headlines za burudani baada ya kumshirikisha staa wa Marekani R. Kelly katika wimbo wake ‘Nidja Karibu uitazame hapa
Read More..IMEVUJA! Ukiachana na habari ya kudaiwa kupangishiwa nyumba na kununuliwa gari mpya aina ya Jeep na kigogo, imebainika kuwa msanii huyo amepokonywa kila kitu alichokuwa amepewa na mpenzi wake wa zamani aitwaye Joho. Hivi karibuni, Lulu Diva aliripotiwa kuwa amepangiwa nyumba na kupewa gari jipya ambapo aliibuka sosi mwingine na kudai kuwa Lulu si mkweli, […]
Read More..MSANII mwenye uwezo mkubwa anapokuwa mbele ya kamera Shamsa Ford, amefunguka kuwa kama angeamua kufuata mambo ya mjini na kujivika ustaa mwingi kama wafanyavyo wengine ingewezekana mpaka leo hii ndoa yake isingekuwepo kabisa. Akizungumza na gazeti hili Shamsa, alisema kuwa ameamua kujishusha kabisa kwasababu anaamini kwenye ndoa hakuna ufundi wala ustaa wowote zaidi ya kujiheshimu […]
Read More..Msaani Lulu diva kaachia video mpya,inaitwa “amezoea”. BOFYA PLAY KUITAZAMA
Read More..NECTA inatangaza kuwa matokeo ya kidato cha nne 2017/2018 yametoka. January 30 2018 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2017’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2017. Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2017’ >>>CSEE 2017 Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo […]
Read More..Baada ya kimya cha muda mrefu cha muimbaji wa Bongofleva Mbosso aliyekuwa member wa Yamoto Band, Mbosso leo ametambulishwa rasmi kuwa msanii wa sita kusainiwa na WCB baada ya Harmonize, Rayvanny, Rich Mavoko, Queen Darleen na Lava Lava , baada ya utambulisho tu Mbosso ameachia video yake mpya inaitwa ‘Watakubali’
Read More..Msanii mpya kutoka Tanzania anayeitwa CELINE JOHN anaye chipukia na nyimbo za Gospel. Na hadi hivi sasa ameshaachia nyimbo mbili ambazo ni “NAMPENDA YESU” na “LEO“. Msanii Celine ni kijana mdogo na ameweza kutimiza ndoto zake za kuwa mwanamziki wa nyimbo za injili. Anamshukuru Mungu kwa afya anayomjalia kila siku na pia anawashukuru wazazi wake […]
Read More..Msaani maarufu Ambwene Yesaya anayejulikana kama “AY” ameamua kuweka hisia zake hadharani kuhusu wimbo wa msanii Ditto ‘Nabembea’ ambapo amesema kuwa ni wimbo bora na utaishi miaka mingi kwenye game ya Bongofleva.. AY ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika hivi..>>>”Nimechelewa kuusikia wimbo wa Lameck Ditto ‘Nabembea’ kama na wiki kadhaa ila kiukweli ni wimbo Bora […]
Read More..Msanii wa muziki wa kike hapa bongo ambaye hivi sasa ndio gumzo kwenye game, Nandy, amesema kitendo cha Ruby kusema kuwa kwake kimya alikuwa anampisha, alikuwa ana tafuta kisingizio kwani bado alikuwepo kwenye game. Akizungumza kwenye 5SELEKT ya East Africa Television, Nandy amesema kwa Ruby kusema hivyo ni kisingizio, kwani wakati yeye anaanza kufanya vizuri, […]
Read More..Muimbaji wa Bongofleva Ruby bado watu wanasubiri kwa hamu ujio wake mpyaa baada ya kukaa kimya bila kutoa ngoma toka mwezi April 2017, kimya cha Ruby wengi hawakifurahi kutokana na wao kuamini kuwa Ruby ana uwezo mkubwa Mashabiki wengi kwa sasa wanasubiri ujio mwingine wa Ruby lakini leo muimbaji huyo ametoa ya moyoni mwake kupitia […]
Read More..Ikiwa zimepita siku chache toka muimbaji wa Bongo Fleva Heri Muziki kuachia ngoma yake aliyowashirikisha Mwana FA na Mr Paul “Waambie” imeonekana kama mtangazaji Diva thee bawse ambaye ni mpenzi wake kuamua kutoa kipande cha Heri Muziki katika wimbo huo na kuweka sauti yake. Kutokana na hiki alichokifanya Diva thee Bawse lakini wimbo huo kimetafsirika […]
Read More..Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam. Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema nakala hizo aliziuza Jumamosi Januari 20,2018 siku ambayo pia alikutana na mashabiki wake. Amesema, “Nilipofikia ni msanii wa kimataifa, hivyo lazima nifanye mambo kuendana na wenzangu […]
Read More..msanii nyota wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, amemlipua mke wa ‘Nabii Tito’ baada ya mwanamke huyo kumshawishi kupitia mitandaoni aolewe na nabii huyo. Chanzo chetu makini kilisema kuwa, msanii huyo amekasirishwa na kitendo cha mke huyo kumshawishi kuolewa na mumewe anayeitwa Onesmo Machija ‘Nabii Tito’ “Wema Sepetu nakupenda sana hata Nabii Tito anakupenda sana, […]
Read More..Mchekeshaji Mboto Haji ameamua kumshukuru kwa mara ya kwanza hadharani muigizaji Aunty Ezekiel ambaye alimuonyesha upendo wakati anaugua na alipolazwa hospitalini na shukrani hizo ameziandika kupitia ukurasa wake wa instagram. Mboto ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa instagram “Wewe ndo jembe langu, mchiz waaaaaangu, kuna kipindi nilisumbuliwa na tatizo la moyo uliacha ratiba zako […]
Read More..Baada ya kufungiwa Miezi 6 kutoa nyimbo mpya, kutumbuiza na kujihusisha na muziki kivyovyote, leo January 24 , 2018 Msanii Pretty Kind amesema sio kweli kwamba amefulia mpaka amekua akihongwa Elfu 20. Pretty Kind alieleza kuwa washaabiki walichukulia vibaya alichosema kuhusu “WANANUME HAWAJUI KUHONGA”. Lakini aliomba msamaha kuhusu jambo hilo na pia kuahidi kubadilika. Alisema […]
Read More..Idris Sultan ameonyesha kukerwa na baadhi ya Watanzania wanaopenda kupoteza muda mwingi katika mitandao ya kijamii kuliko kazi na kuuita ni “umbea” hii imekuja baada ya kuona mafanikio kutoka +254 Kenya baada ya movie ya “Watu Wote” kutajwa katika Tuzo za Oscar nchini Marekani na kutengeneza Satelite yao ya kwanza nchini humo., Kupitia ukurasa wa […]
Read More..kutokea Bongoflevani Diamond Platnumz mwishoni mwa weekend hii alikuwa nchini Rwanda ambapo alienda kwenye mambo yake binafsi ikiwa ni pamoja na kutangaza bidhaa zake za Diamond Karanga na Chibu Perfume kisha kupata nafasi ya kukutana na wasanii wa nchi hiyo.. Diamond amepost picha kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na wasanii wa Rwanda wakipata Dinner […]
Read More..Muigizaji kutoka Bongo Movie Aunty Ezekiel amechukua headlines katika mitandao ya kijamii baada ya kupost caption ambayo imeacha maswali kwa baadhi ya mashabiki kupitia ukurasa wake wa instagram na wengi kutafsiri hueda akawa kwenye migogoro na baba mtoto wake Mose Iyobo. “Sina kawaida ya kuweka Maisha yangu kwenye Mitandao ila huku tunakoelekea ? Dah!wanaume!!!!?“ Aunt […]
Read More..