Nani wa Kuiokoa Bongo Muvi?
HALI ya soko la filamu nchini ni tete. Hakuna mwenye uthubutu wa kutamba tena hadharani kuwa eti sinema za Kibongo zinalipa (ingawa awali zilikuwa hazilipi sana). Zinatolewa sababu nyingi; eti mastaa ni walewale, wachanga hawapati nafasi ya kutoka ndiyo maana soko limeshuka. Sababu dhaifu kabisa. Nani alikuwa anamjua Rose Ndauka kabla ya filamu ya Swahiba? […]
Read More..





