-->

Author Archives: editor

Amanda Asubiri Ndoa Amuanike Hubby Wake

Post Image

Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameibuka na kusema kuwa amejifunza kuwa msiri kwenye uhusiano wa kimapenzi na sasa atamuanika mpenzi wake atakapokaribia kufunga ndoa. Akipiga stori na Ijumaa Amanda alisema kuwa, siku hizi amekuwa hapendi kuweka wazi kajiweka kwa mwanaume gani kutokana na historia ya maisha yake ilivyoathirika kwa kujianika. “Yaani mtu […]

Read More..

Diamond Afungukia ‘Reality Show’ Ya...

Post Image

Inawezekana wasanii wakubwa kutoka nchini Nigeria, P.Square ambao sasa hivi wako nchini South Africa wakishoot video ya ngoma mpya ya Diamond wakaonekana kwenye ‘reality show’ ya huyo ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni,kwenye moja ya post zake kwenye page yake ya ‘Instagram’ aliandika kuwa shoo hiyo sio ‘kireality show’ bali ni ‘reality show’. ‘’Nikisema sio kireality […]

Read More..

Uzinduzi wa Tanzanite International Film Fe...

Post Image

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye Jumapili hii mkoani Arusha amezindua tamasha kubwa la Kimataifa la Filamu, ‘Tanzanite International Film Festiva’. Waziri Nape aliwaambia wadau na waigizaji wa filamu waliohudhuria uzinduzi wa tamasha hilo, kuwa hii ni moja ya hatua kubwa kwenye historia ya filamu nchini na kuahidi Wizara yake itaendelea kutoa […]

Read More..

Sijawahi kuwa na Mahusiano na msanii Lady J...

Post Image

JayDee ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswali ya papo kwa papo wakati akizindua video ya NdiNdiNdi kwenye kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV.   Katika uzinduzi huo msanii huyo aliweka bayana kwamba ameandaa albam nzima ambapo ameanza kutoa single ya NdiNdiNdi na nyingine zitaendelea kutoka. Aidha amewashukuru watu wote ambao wanaendelea kumuunga mkono katika kazi zake […]

Read More..

Jide: Ray C Anahitaji Marafiki Sahihi

Post Image

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ a.k.a Jide, amesema msanii mwenzake, Rehema Chalamila, anahitaji marafiki sahihi ambao watamsaidia katika kipindi hiki kigumu. Ray C ambaye amewahi kujihusisha na madawa ya kulevya, kwa sasa ameripotiwa kurejea kwenye matumizi hayo huku mara kadhaa ikiripotiwa kuwa mrembo huyo aliyekimbiza na Kibao cha Na Wewe […]

Read More..

Rose Ndauka Asema Aliumia Kuachana na Mpenz...

Post Image

Msanii wa filamu Rose Ndauka amesema hakuna kitu kilimuumiza katika maisha yake kama kuachana na mpenzi wake Malick Bandawe aka Chiwaman, siku chache kabla ya ndoa yao kufanyika. Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Rose Ndauka amesema aliumia kwa sababu alishatangaza kwa watu, kwamba anatarajia kufunga ndoa. “Kiukweli iliniumiza sana, kwa sababu mpaka tumefikia hatua tufunge […]

Read More..

Dotto Kuonyeshwa Kwenye ‘Bongo Movies Pre...

Post Image

Filamu ya Dotto iliyochezwa na mastaa wakali wa bongo movies wakionzwa na  Irene Paul pamoja na Patcho Mwamba itazinduliwa kwenye Bongo Movies Premiere pale escape one, Jumatano ya tarehe 27 mwezi huu. Mstaa kibao na wapenzi wa bongo movies wote watakuatana kuitazama filamu hiyo kwenye big screen siku huyo kuanzia saa 1 usiku. Usikose!

Read More..

Mussa Banzi wa Filamu ya Shumileta na Msiuk...

Post Image

Muongozaji mkongwe wa filamu na mwandishi wa stori za filamu, Mussa Banzi baada ya ukimya wa muda mrefu ameamua kurudi kwenye game la filamu ili kufanya mapinduzi. Banzi ambaye aliwahi kutamba na filamu kama Shumileta, Msiuka pamoja na Odama ambayo ilimtoa msanii Odama, ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kurudi baada ya kuona tasnia ya filamu inayumba […]

Read More..

Papa Wemba Afariki Dunia Nchini Ivory Coast

Post Image

Mwanamuziki wa rhumba nchini DRC Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kwa jina la Papa Wemba amefariki dunia leo nchini Ivory Coast. Papaa Wemba amefariki dunia baada ya kuugua ghafla akiwa katika shughuli za kimuziki ambapo alianguka ghafla jukwaani katika tamasha la Festival des Musiques Urbaines d’Anoumabo (FEMUA) linaloendelea Abidjan, Ivory Coast. Bado chanzo cha […]

Read More..

Pete ya Lulu ya Waacha Njia Panda Mashabiki...

Post Image

  Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaacha njia panda mashabiki wake mtandaoni baada ya hii leo kubandika picha wenye ukurasa wake wa instagram ya pete kidoleni  kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika haya;   “Asante MUNGU Wangu Kwa Neema Zako ambazo hazijawahi kuniacha ??? Maana Hata hiki kitendo cha kishujaa kujinunulia Pete […]

Read More..

Fahamu Maana ya Ngoma NdiNdiNdi ya Lady Jay...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina la NdiNdiNdi. Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ya EATV Lady JayDee amesema kwamba maana ya wimbo huo ni ‘The Ndi Mimi ni kitu Tori wewe […]

Read More..

Meneja wa Diamond Ataja Anapokosea Alikiba...

Post Image

Akiongea kwenye mahojiano na gazeti la Champion, Sallam alisema: Sina tatizo kabisa, akitaka tufanye kazi nitamweleza mahitaji yangu akikubali tutafanya kazi. Nilishawahi kukutana na Kiba, Nairobi, alinifuata akaomba tupige picha, sikuwa na kinyongo, tukapiga ikawa safi japokuwa ile picha aliitumia kunitukanisha baadaye. Akifafanua kuhusu hilo, Sallam alisema: Hakuiweka yeye katika mtandao, aliitoa kwa mashabiki wake […]

Read More..

Bishanga: Waigizaji Wengi wa Sasa Wanaiga ...

Post Image

Mwigizaji Mkongwe ambaye alikuwa kwenye kundi la Mambo Hayo lililokuwa maarufu miaka ya 90, Bishanga Bashaija amesema kuwa waigizaji wengi wa sasa hivi wanaiga sana Umagharibi,ndio maana tamthilia nyingi za sasa zinaoonyeshwa kwenye runinga kwa sasa ni kutoka Latin America. “Waigizaji wengi wa sasa wa hapa nchini wanaiga sana Umagharibi,ndio maana tamthilia nyingi za sasa zinazonyeshwa […]

Read More..

Madaha: Nikikosa Faragha Siku 3 tu Naugua

Post Image

STAA wa muziki Bongo fleva na Bongo Movies, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, starehe yake kubwa ni kuwa faragha na laazizi wake kiasi kwamba akipitisha siku tatu huwa anaugua. Akibonga na paparazi wetu kuhusu maisha yake ya kimapenzi, Madaha alisema kuwa kila mtu kuna kitu anakipenda hivyo yeye ugonjwa […]

Read More..

Nimeijua Thamani Yangu Nilipokuwa Burundi-S...

Post Image

Msanii wa filamu Shamsa Ford, amefunguka mambo mengi yaliyomtokea wakati akiandaa filamu yake mpya ‘Najuta Shamsa’ iliyofanyikia nchini Burundi na Tanzania. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Shamsa amesema mashabiki wa Burundi wamemfanya ajue thamani yake kama masanii. “Thamani yangu ya kuwa msanii nimeijua nchini Buruduni,” alisema Shamsa. “Nilivyopokelewa, kwanza kuanzia uwanja wa ndege, mule ndani […]

Read More..

Ukimya Wangu Umefanya Nijipange Zaidi ̵...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Lawrence Malima maarufu kama Marlaw ambaye alitamba na nyimbo nyingi kipindi cha nyuma kama Rita, Missing my baby, Bembeleza na nyinginezo amesema kuwa ukimya wake umempa nafasi nzuri ya kujipanga na kufanya kazi nzuri zaidi. Marlaw ambaye aliweza kutambulisha style ya kiduku kwa mara ya mwisho alitamba na wimbo wake wa […]

Read More..

Subirini Ngoma ya East Coast Team – M...

Post Image

Msanii mwana FA ameelezea sababu za kuvunjika kwa kundi la East Coast Team na kutoa taarifa za kurudi kwake, na kuwataka mashabiki wakae tayari kwa muda wowote kupata kazi kutoka kwao. Mwana FA ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, na kusema kuwa majukumu ndiyo yalifanya kundi hilo kusambaratika kikazi, lakini kwa […]

Read More..

TANAPA Kutoa ‘Location’ kwa Wasanii

Post Image

MENEJA Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete, amesema wasanii wa filamu nchini wanatakiwa kutumia mandhari za asili zilizoko katika hifadhi za Taifa kwa ajili ya kurekodi filamu zao ili kutangaza utalii wa ndani. Shelutete alisema hayo katika tamasha la chama cha wasanii wa filamu wa jijini Arusha (TFDAA) katika Uwanja wa Sheikh Amri […]

Read More..