-->

Category Archives: BongoFleva

Jide Awaasa Wanafunzi Wanaotaka Kuishi Kifa...

Post Image

MWANAMUZIKI Judith Wambura ‘Jide’, amesema ili wanafunzi waishi maisha ya kifalme, wanatakiwa wajiamini katika kutimiza ndoto zao kupitia elimu. Jide alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza wakati wa shindano la wanafunzi wa sekondari mkoani Iringa lililopewa jina la ‘I can think, I can Speak, Speech Competition 2016’. “Wanafunzi hawatakiwi kukata tamaa katika masomo yao kwa kuwa wengi […]

Read More..

Nuh Mziwanda: Bora Shilole Kuliko Petit Man

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda kwa sasa ameingia katika mgogoro na aliyekuwa meneja wake, Petii Man kutokana na madai kuwa Petii Man amekuwa akitumia jina lake vibaya kupiga hela. Nuh alitumia dakika 4 akiiambia eNewz kuwa Petii Man alikuwa ni mpigaji, na hakuwa na mchango wowote katika kuuendeleza muziki wake, huku akimkumbuka mpenzi wake […]

Read More..

Nay wa Mitego Awachana Tena Wenzake

Post Image

Rapa Nay wa Mitego ambaye kwa sasa anafanya vyema na ngoma yake ‘Saka hela’ amefunguka na kusema kuwa amegundua kwenye muziki wa bongo fleva saizi kuna wasanii wengi maboya akimaanisha washamba. Nay wa Mitego alisema hayo kupitia kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ kinachorushwa na EATV na kudai mwanzo walikuwepo wasanii wawili maboya lakini saizi amegundua […]

Read More..

Nuh Mziwanda Afunguka Kuwakacha Kina Petit ...

Post Image

Msanii Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kuzinguana na uongozi wake akiwemo Petit Man ambaye anamsimamia, amesema ameamua kuachana kabisa na uongozi huo kwa mapenzi yake mwenyewe. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Nuh Mziwanda amesema ameamua kufanya hivyo kwani hana muda wa kupoteza tena, kwani meneja huyo anaonekana hana […]

Read More..

Steve Nyerere Atoboa Siri ya Bongo Fleva Ku...

Post Image

Jumapili hii timu ya mpira wa miguu ya wasanii wa Bongo Fleva ilitoana jasho na timu ya wasanii wa Bongo movie, lengo ikiwa ni kukusanya pesa za kuchangia waathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi mkoani Kagera.   Katika mchezo huo, Bongo Fleva waliibuka washindi, wakiendeleza kipigo kwa Bongo Movie kwa mwaka wa 5 sasa […]

Read More..

Kalapina Afunguka Kuhusu Chid Benz Kurudia ...

Post Image

Msanii Kalapina ambaye pia ni mwanaharakati wa kupambana na madawa ya kulevya na akiwa mmoja wa watu waliomsaidia Chid Benz baada ya kuathiriwa na madawa ya kulevya, amefunguka kuhusu hali ya sasa ya msanii huyo.   Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Kalapina amesema Chid Benz alikuwa hajapata matibabu sahihi alipotoka ‘sober house’, […]

Read More..

Erycah: Wema, Uwoya Kaeni Chonjo

Post Image

VIDEO Queen ‘hot’ Bongo ambaye ameonekana kwenye video za wasanii mbalimbali wa muziki, Ericka Daniel ‘Erycah’ amefunguka kuwa, mastaa kama vile Wema Sepetu, Irene Uwoya, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na wengineo wakae chonjo kwani amedhamiria kufunika ustaa wao. Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Erycah ambaye hivi karibuni aliing’arisha Video ya Kwa Hela ya Mwanamuziki Linex alisema, […]

Read More..

Timbulo Awatolea Povu Wasanii Hawa wa Kike

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Timbulo amefunguka na kusema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wamezoea kupata kidogo katika maisha yao ya kila siku ndiyo maana inapotokea wamepata kikubwa wanawehuka na kuvurugika. Timbulo alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz ya EATV na kusema kuwa kuna baadhi ya wanawake wakipata fedha au mafanikio katika maisha yao […]

Read More..

Ali Kiba Achaguliwa Kuwania Tuzo za Mtv Ema

Post Image

Msanii wa Kimataifa kutokea Tanzania, Alikiba maarufu kama Kingkiba, Leo ametajwa kwenye nominations za tuzo kubwa dunia za Mtv Europe Music awards (MTVEMA) katika category ya BEST AFRICAN ACT, Alikiba ni msanii pekee kutokea East Africa huku akiungana na miamba mingine ya mziki kutoka Nigeria na south Africa kama ifuatavyo Best African Act Alikiba – […]

Read More..

Vanessa Atokwa Povu Kuambiwa Anajichubua

Post Image

Ubuyu unaotrendi Bongo unamgusa staa wa Bongo Fleva anayekamata anga za kimataifa, Vanessa Mdee ‘V-Money’ ambaye wikiendi iliyopita alitawala mitandao ya kijamii kwa picha yake iliyomuonesha akiwa amevaa kibukta na kuachia maungo yake wazi kisha mashabiki wakahoji kuwa rangi ya maungo haifanani na rangi ya uso wake ‘eti baadhi ya sehemu amekunywa maji mengi’. Mwana-ubuyu […]

Read More..

H Baba: Viongozi wa Simba Wananihitaji Nich...

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva H Baba amefunguka na kusema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa Simba wameonesha nia ya kumuhitaji kwenye kikosi chao. H baba ambaye alikuwa nahodha wa timu ya soka ya Bongo Fleva ambayo ilipambana na timu ya Bongo Movie katika mchezo wa hisani uliochezwa mwishoni mwa wiki hii katika uwanja […]

Read More..

Goodluck Gozbert: Mashindano ya Kuimba Yali...

Post Image

NYOTA wa muziki wa Injili nchini, Goodluck Gozbert amesema aliwahi kupewa kichapo na mzazi wake mara baada ya kudanganya, badala ya kwenda shuleni yeye alikwenda kwenye tamasha la kampuni moja ya vinywaji baridi ili kuonyesha kipaji chake cha uimbaji. Akizungumza na Juma3tata, Goodluck Gozbert alisema, baada ya kunyoosha mkono juu na kuchaguliwa kupanda jukwaani kwenda […]

Read More..

Hivi Ndiyo Alikiba Alivyochukizwa na tetesi...

Post Image

Miezi michache iliyopita Abdul Kiba ambaye ni mdogo wake na AliKiba alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari kwamba yupo tayari kujiunga na label ya ‘WCB’ ya Diamond kauli ambayo ilileta shida kwa mashabiki wa AliKiba pamoja na team yake. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na video yake ya wimbo ‘Bayoyo’ ameiambia Bongo5 kuwa kauli hiyo […]

Read More..

Mimi Siyo Chizi, Wao Ndiyo Wazinguaji ̵...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Ruby ambaye leo ameachia kazi yake mpya inayofahamika kwa jina la ‘Wale Wale’ ambayo imetayarishwa na mtayarishaji Man Water amefunguka na kusema kuwa yeye siyo chizi kusema ashindwe kutokea kwenye baadhi ya video ya wasanii. Ruby akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo amesema kuwa alikuwa hana haja ya kukataa kuonekana kwenye […]

Read More..

Alikiba Aahidi Kufanya Kazi na ‘Madan...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Alikiba ameahidi kuchukua baadhi ya vijana walioshiriki hatua ya fainali ya shindano la Dance100% 2016. Akizungumza na EATV Alikiba amesema uwezo uliooneshwa na makundi yaliyoshiriki umemfanya aone kuna sababu ya msingi ya kukuza vipaji vyao kwa kuchukua baadhi ya waliofanya vizuri na kuwajumuisha kwenye kazi zake. “Nashukuru kwa kuwa Jaji mgeni […]

Read More..

Picha: Bata la Diamond na Zari Huko Zanziba...

Post Image

Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mpenzi wake Zari, staa wa bongo fleva, Diamond Platnumz  akiwa na mcheza danci wake Moses Iyobo ambae ameambatana Aunt Ezekiel wameendelea kula bata visiwani Zanzibar. Hizi ni baadhi ya picha zao

Read More..

Z-Anto Afungukia Ujio Wake Mpya, Ataka Kusa...

Post Image

Msanii Z Anto ambaye amekuwa kimya muda mrefu kwenye game na kutangaza kurudi hivi karibuni, amefunguka kuhusu kitendo cha msanii kumsaini msanii mwenzake kwenye lebo yake na kufanya naye kazi. Akizungumza kwenye FNL ya east Africa Television na East Africa Radio, Z Anto amesem akitendo hicho kwake ananona ni kitu kigumu kwake, kwani iwapo msanii […]

Read More..

Juma Nature aumizwa na tukio la KR Mullah

Post Image

Msanii Juma Nature ameelezea kusikitishwa kwake na tukio lilitokea kwa msanii mwenzake KR Mullah ambaye alikuwa naye kwenye kundi moja la Wanaume Halisi, na kisha kwenda Radar Entertainment. Akizungumza kwenye kipindi cha FNL cha East Africa Television na East Africa Radio, Juma Nature amesema alipotumiwa picha za KR Mullah akiwa amelewa chakali huku hajitambui, alihuzunika […]

Read More..