Ndauka Asisitiza Elimu kwa Wasanii
Staa wa filamu Rose Ndauka amewataka wasanii wenzake pamoja na mashabiki katika nafasi zao kuzingatia elimu ambayo ina umuhumu mkubwa katika suala zima la maendeleo. Rose amesema, kwa mtu yoyote kuendelea katika nafasi aliyopo ni muhimu kujituma kujifunza zaidi kwa upande wa sekta binafsi na sekta rasmi, ikiwa inafahamika pia kuwa elimu haina mwisho. Staa […]
Read More..






