-->

Category Archives: Other Celebs

singers

Good News!! Filamu ya Kiumeni kutazamwa nch...

Post Image

Taarifa ikufikie kuwa filamu ya Kiumeni kutokea nchini Tanzania inaweza kuwa ya kwanza kutazamwa katika Cinemas nchini Marekani ambapo filamu hiyo iliachiwa rasmi Mlimani City Century Cinemax Jijini Dar es salaam March 15,2017. Kupitia Instagram account ya Idris Sultan ambaye ni mmoja kati ya waigizaji katika filamu hiyo ya Kiumeni aliandika caption inayosema “Kwa mashabiki zangu mliopo Marekani na wanaonichukia pia Filamu ya kiumeni itaonyeshwa […]

Read More..

VideoMPYA: Hii ni nyingine kutoka kwa Msaga...

Post Image

muziki wa Kisingeli Msaga Sumu anakualika kuitazama video mpya ya wimbo wake wa “Kitu Gani” akiwa kasimama mwenyewe ili kuburudika na wimbo huo bonyeza PLAY.

Read More..

Dogo Janja anaitwa Baba Krish?

Post Image

miezi kadhaa imepita tokea muigizaji Staa Irene Uwoya afunge ndoa na msanii Dogo Janja na kwa upande wao wameonekana kuridhika na ndoa yao ingawa maneno yalikuwa mengi kutoka kwa mashabiki. Mapenzi kati yao yanaonekana kushamiri na kudumu hii ni baada ya Dogo Janja kukabidhiwa majukumu kama baba wa familia baada ya kuitwa Baba Krish katika comment kupitia instagram akaunti ya Irene Uwoya na jina hili kuonekana […]

Read More..

Ray C anacho fikiria kuhusu Diamond Platnum...

Post Image

February 9, 2018 story ambayo imeshika headlines kwenye mitandao ya kijamii ni ya msanii mkongwe katika game ya Bongo Fleva Ray C baada ya kupost picha ya Diamond Platnumz na kuandika ujumbe kwa mashabiki wa muziki wanaomponda Diamond Platnumz  Kupitia ukurasa wa instagram wa Ray C ameandika caption inayosema “Mi naumiaga sana nikiona huyu mtoto anasemwa semwa kila siku! Amefanya mapinduzi makubwa sana huyu mtoto! kama una […]

Read More..

Wema Sepetu : Mahakamani Kisutu.

Post Image

Msanii Wema Sepetu leo amefika Mahakamani kufuatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya Bangi Wema amefika Mahakamani hapo akiwa na Wakili Albert Msando aliyetangaza kumtetea baada ya Wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea msanii huyo mrembo Wema Sepetu ya kukutwa na msokoto wa bangi imesikilizwa leo February 8, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi […]

Read More..

Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto alivyofi...

Post Image

February 8, 2018 Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na Mzazi mwenzie Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto. Nimekuwekea Video ya Diamond na Hamisa walivyofika Mahakamani Hatua ya Diamond na Mobetto kufika Mahakamani inatokana na Mobetto kufungua shauri kuhusu matunzo ya mtoto aliyezaa na Diamond. Awali Mahakama hiyo ilitupilia mbali shauri hilo baada ya Diamond kuwasilisha pingamizi dhidi ya […]

Read More..

Miss Tanzania Afunguka Haya Kuhusu Alikiba

Post Image

Miss Tanzania 2016, Diana Edward amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye anampenda sana Ally Saleh alimaarufu kama ‘Ali Kiba’ kutokana na ukweli kwamba msanii huyo amejiweka tofauti na wasanii wengine na ametulia. Miss Tanzania ameweka wazi hilo kupitia kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio wakati akipiga stori na Big Chawa na kusema yeye […]

Read More..

Idriss Afunguka Kumpa Mimba Wema Sepetu

Post Image

Muigizaji wa filamu na mchekeshaji mahiri katika masuala ya komedi Idris Sultan amefunguka na kuweka wazi kuwa ni kweli alifanikiwa kumpatia ujauzito Wema Sepetu tena wa watoto wawili lakini kwa bahati mbaya uliharibika. Idris Sultan amesema hayo kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kwenye ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane […]

Read More..

TUNDA- Napenda vitu vizuri na ninaweza kuji...

Post Image

Baada ya kusambaa video ya Tunda akila Bata na Kinje, Tunda alielezea kuwa yeye havujishagi video na kuhusu kulala hoteli za nzuri na kula bata anajilipia yeye mwenyewe au wakati mwingine mpenzi wake lakini yeye anaweza kujilipia mpaka hotel ya Dolla 400.. ..>>>“Mimi napenda vitu vizuri na penda kula sehemu nzuri na kulala sehemu nzuri […]

Read More..

Muonekano Mpya wa Nywele za Kijani za Ben P...

Post Image

Wakati wabongo wakiendelea kumshambulia mitandaoni kwa aina ya mtindo wa kupaka rangi za kijani kwenye nywele zake, Msanii Ben Pol ameneemeka na staili hiyo kwani ameshalamba dili nono na kampuni ya Green Telecom inayojihusisha na masuala ya mawasiliano na IT. Ben Pol amethibitisha taarifa hizo kwenye mahojiano yake na Bongo5 ambapo amesema ni kweli amepata […]

Read More..

Fid Q Amuweka Wazi Mpenzi Wake Awapiga Stop...

Post Image

Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa  mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi. Fid Q amesema ameamua kupost picha kwenye mitandao yake  ya kijamii ili kupunguza wasichana wengine kumtumia meseji za kumsumbua lakini pia kuwaonyesha mashabiki zake kwamba kwa sasa yupo katika […]

Read More..

Huu Mwaka Una Mambo Mazuri Utakuwa Mwaka wa...

Post Image

February 5, 2018 Staa wa Bongofleva na President wa WCB Diamond Platnumz azidi kuwaahidi mashabiki zake vitu vikubwa kuhusu muziki wa Bongo Fleva kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu wa 2018 ameyasema haya kupitia account yake ya instagram. Ambapo mwanzoni wa mwaka huu wa 2018 ameanza kwa kumtambulisha rasmi Mbosso WCB pamoja na kazi yake […]

Read More..

VideoMpya: Nimeipata hii ya Fally Ipupa ame...

Post Image

Fally Ipupa ameingia kwenye headlines za burudani baada ya kumshirikisha staa wa Marekani R. Kelly katika wimbo wake ‘Nidja Karibu uitazame hapa

Read More..

Lulu Diva Apokonywa Kila Kitu na Mpenziwe

Post Image

IMEVUJA! Ukiachana na habari ya kudaiwa kupangishiwa nyumba na kununuliwa gari mpya aina ya Jeep na kigogo, imebainika kuwa msanii huyo amepokonywa kila kitu alichokuwa amepewa na mpenzi wake wa zamani aitwaye Joho. Hivi karibuni, Lulu Diva aliripotiwa kuwa amepangiwa nyumba na kupewa gari jipya ambapo aliibuka sosi mwingine na kudai kuwa Lulu si mkweli, […]

Read More..

SHAMSA Ford Afunguka Kuhusu ndoa yake..Adai...

Post Image

MSANII mwenye uwezo mkubwa anapokuwa mbele ya kamera Shamsa Ford, amefunguka kuwa kama angeamua kufuata mambo ya mjini na kujivika ustaa mwingi kama wafanyavyo wengine ingewezekana mpaka leo hii ndoa yake isingekuwepo kabisa. Akizungumza na gazeti hili Shamsa, alisema kuwa ameamua kujishusha kabisa kwasababu anaamini kwenye ndoa hakuna ufundi wala ustaa wowote zaidi ya kujiheshimu […]

Read More..

Ishu ya Tunda, Aunt Ezekiel Iko Hivi!

Post Image

AREMBO wa Bongo hawajawahi kuwa salama wala kumuacha mtu salama. Safari hii mambo ni moto kwelikweli kwa mastaa wawili wa kike, Aunt Ezekiel na Tunda. Wadada hao wenye mvuto wa kipekee ndani ya Bongo, wamelianzisha kinoma huko kwenye mitandao ya kijamii na hali kwa sasa si shwari. Ishu yao ilianza kama utani vile, lakini baadaye […]

Read More..

MSANII MPYA: CELINE JOHN msanii mpya wa n...

Post Image

Msanii mpya kutoka Tanzania anayeitwa CELINE JOHN anaye chipukia na nyimbo za Gospel. Na hadi hivi sasa ameshaachia nyimbo mbili ambazo ni “NAMPENDA YESU” na “LEO“. Msanii Celine ni kijana mdogo na ameweza kutimiza ndoto zake za kuwa mwanamziki wa nyimbo za injili. Anamshukuru Mungu kwa afya anayomjalia kila siku na pia anawashukuru wazazi wake […]

Read More..

Nandy amfungukia Ruby

Post Image

Msanii wa muziki wa kike hapa bongo ambaye hivi sasa ndio gumzo kwenye game, Nandy, amesema kitendo cha Ruby kusema kuwa kwake kimya alikuwa anampisha, alikuwa ana tafuta kisingizio kwani bado alikuwepo kwenye game. Akizungumza kwenye 5SELEKT ya East Africa Television, Nandy amesema kwa Ruby kusema hivyo ni kisingizio, kwani wakati yeye anaanza kufanya vizuri, […]

Read More..