-->

Daily Archives: July 16, 2016

Wimbo wa ‘Pale Kati’ wa Nay wa ...

Post Image

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa ‘pale kati patamu’ ulioimbwa na Msanii Ney wa Mitengo kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili. Taarifa iliyotolewa leo na Baraza hilo na kusainiwa na Katibu wake Mtendaji Godfrey Mngereza, imeeleza kuwa msanii huyo amekuwa na tabia na mienendo yenye kuchafua Sekta ya Sanaa yeye binafsi […]

Read More..

Mama Afunguka Wema Kurudiana na Diamond!

Post Image

Licha ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuibuka na kukanusha sakata lao la kurudiana, bado madai ya wawili hao kutoka kwa siri yamekuwa yakishika kasi kiasi cha kumfanya mama mzazi wa Wema, Miriam Sepetu naye kulazimika kufungukia taarifa hizo. MADAI YA KURUDIANA […]

Read More..

Steve Nyerere: Mastaa Tupunguze ‘Raundi’

Post Image

MCHEKESHAJI mahiri Bongo, Steve Nyerere amewataka mastaa wenzake kupunguza kuagiza raundi wanapokuwa kwenye starehe za unywaji pombe badala yake, siku moja moja wajitoe kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima. Akizungumza wakati wa futari iliyoandaliwa na mfanyabiashara Davis Mosha nyumbani kwake Sinza, Steve aliwataka kuiga mfano wa pedeshee huyo kwa kuwa mara nyingi hujitoa kwa watoto […]

Read More..

Faiza Ally Afungukia Kiki za Bongo Movi

Post Image

Msanii wa filamu Faiza Ally amewataka wasanii wenzake wa filamu kuacha kutafuta ‘kiki’ ambazo haziwanufaishi katika kazi zao. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Faiza amesema wasanii wengi wa kike wa filamu wanatafuta kiki za mapenzi bila kujua kiki hizo zitawasaidiaje. “Kiki sio mbaya lakini hiyo kiki inakusaidiaje?, mimi ukiona nafanya kiki ujue kuna kazi ambayo […]

Read More..

Roma Amemchana Babu Tale

Post Image

Wakati wananchi wa kisubiri kusikia wimbo mpya wa Roma juu ya kuichana serekali ya Magufuli ,Roma ameachia wimbo wake huo ambao amewachana wala unga pamoja na babu tale kumganda Diamond Baada ya mashabiki kukaa na kusubili kazi mpya ya Roma Mkatoliki ambayo amemshirikisha msanii mwenzake Darasa ambayo kila mwananchi akitegemea kusikia akiichana serekali ya Magufuli […]

Read More..