Nay wa Mitego Afunguka Kuhusu Siwema, Mzazi...
Rapa Nay wa Mitego amefunguka na kuzungumzia nini kinaendelea baada ya kutangaza kumsaidia aliyekuwa mpenzi wake Siwema ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kumtukana shabiki kwenye mtandao wa kijamii. Nay na Siwema walifanikiwa kukaa kwenye uhusiano kwa kipindi kirefu na kufanikiwa kupata mtoto ambaye walimpa jina la Curtis kabla hawajatengana. Akizungumza na […]
Read More..





