-->

Daily Archives: July 2, 2016

Jini Kabula Aswekwa Lupango

Post Image

 Kibano! Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amejikuta kwenye mikono ya sheria na kuswekwa lupango baada ya  kumtukana shosti yake, Miss Kinondoni 2009, Stella Mbuge. Kwa mujibu wa mtoa ubuyu wetu makini, Kabula alitaitiwa na polisi usiku wa Jumatano iliyopita mara baada ya kutendo kosa hilo walipokuwa katika Uwanja wa Taifa jijini […]

Read More..

Video: Mtoto wa Shilole Akionyesha Uwezo Mk...

Post Image

Mtoto wa msanii wa bongo movies na bongo fleva,  Shilole anaeitwa Rahma aonyesha uwezo mkubwa wa kuimba kitendo ambacho kimemshagaza hadi shilole mwenyewe. Mtoto huyo, Rahma alionesha uwezo huo kwenye kipindi cha leo tena cha cloudsfm hivi majuzi. “Sikuwahi kujua kama mwanangu anajua kuimba leo kanisuprise”-Shilole alemadika kwenye ukurasa wake mtandaoni.  

Read More..

Snura: Tuache Kugombea Mabwana Tufanye Kazi

Post Image

SNURA Mushi mwigizaji wa filamu na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya amewaambia waigizaji wa kike wasiwe tegemezi kwa kufanya kazi zinazoandaliwa na watayarishaji wa kiume wakati nao wanaweza kuetengeneza filamu. Msanii huyo anatiririka kwa kusema kuwa badala ya kutumia muda mwingi kugombea mabwana wajipange kufanya kazi na kwa kiwango kikubwa kwani wanakubalika katika soko […]

Read More..

Kayumba Amuumbua Mkubwa Fela

Post Image

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Afrika Radio, Kayumba amesema pesa bado ipo ingawa imeshapungua, tofauti na alivyosema Mkubwa Fela, na kwamba hata ujenzi wa nyumba bado unaendelea. “Hela ipo, ingawa sio tena milioni 50 , itakuwa uwongo nikisema bado ipo milioni 50, lakini zipo siwezi kusema imebakia ngapi, si unaona napendeza nini, nyumba ipo […]

Read More..