-->

Daily Archives: July 13, 2016

Roma Mkatoliki: Babu Tale Alinichimba Mkwar...

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki ambaye leo ameachia ngoma yake mpya ‘Kaa tayari’ amefunguka na kusema moja ya mstari uliopo kwenye wimbo wake huo unamuhusu meneja wa Diamond Platnumz ambapo unamchana kuwa saizi anamganda sana Diamond Platnumz mpka amelisahau kundi lake na Tip Top Connection. Roma Mkatoliki amedai kabla ya wimbo huo haujatoka aliweza kusimkilizisha Babu Tale kisha […]

Read More..

Tetesi:Masogange, Rammy Galis Wamwagana

Post Image

Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ubuyu ulioenea ‘town’ kuwa uchumba wa mastaa wapenzi Bongo, Rammy Galis na Agness Gerald ‘Masogange’ unadaiwa kuvunjika. Ubuyu huo ulianza kutapakaa baada ya picha ya Rammy ambaye ni mwigizaji wa Bongo Muvi na Masogange kuwekwa kwenye kurasa mbalimbali za Mtandao wa Kijamii wa Instagram huku zikiwa zimeambatana na maneno yanayodaiwa […]

Read More..

Dudubaya:Muziki Siyo Mkojo

Post Image

Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa msanii anapaswa kutulia na kujipanga kwenye kutengeneza nyimbo zake ili aweze kufanya kazi nzuri na yenye kuvutia kwa mashabiki kwani muziki si kama mkojo kuwa unapojisikia umekubana ukojoe. Dudubaya amesema hayo kupitia kipindi cha eNEWS alipokuwa akielezea sababu za yeye kuendelea kutamba na kuzungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii […]

Read More..

Shilole: Huyu Ndiye Mrithi wa Nuh!

Post Image

STAA anayebeba fani mbili kwa mpigo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, juzikati alimwanika bwana’ake mpya huku akijinadi kuwa ndiye mrithi halali wa aliyekuwa mpenzi wake wa kitambo, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni baada ya kubambwa kwenye Ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga jijini Dar es Salaam ilipokuwa ikifanyika Shoo ya Black Tie, […]

Read More..