-->

Daily Archives: January 5, 2017

Ally Star: Taarabu Itakufa Tusipoisaidia

Post Image

MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa taarabu nchini, Ally Star, ameweka wazi kwamba muziki huo upo hatarini kutoweka endapo juhudi za kuunasua hazitachukuliwa. Ally ambaye ni msanii wa kundi la sanaa la Tanzania One Theatre (TOT), alisema kiwango cha muziki kimeshuka ikilinganishwa na miaka ya 1980. Alisema muziki wa taarabu hivi sasa umekutana na changamoto nyingi […]

Read More..

Gigy Money Afungukia Swala la Ukimwi

Post Image

Video queen matata ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha redio moja jijini hapa, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ametema cheche akisema kuwa, watu wote wanaomsema kwamba kutokana na kuvaa nusu utupu na kujiachia na midume mbalimbali huenda ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi, waache kwani kama ni kweli basi wengi wangekufa kwa sababu ameshatembea na […]

Read More..

Kalapina Atoboa Aliyemuharibu Chid Benz

Post Image

Kalapina ambaye ni mwanaharakati wa kuwasaidia watu ambao wameingia kwenye matumzi ya dawa za kulevya amefunguka na kumtaja mama yake mzazi Chid Benz kama mtu anayemuendekeza Chid na kumfanya asitoke kwenye matumizi ya dawa za kulevya. Kalapina amesema mama huyo anampenda sana mtoto wake kiasi cha mtoto kujua na kuona kwamba hata akifanya jambo fulani yupo […]

Read More..

Wolper Ampiga Chini Harmonize Kupitia Insta...

Post Image

Staa wa Bongo Movie,Jacqueline Wolper amefunguka rasmi kumbwaga Harmonize kupitia  mtandao wa Instagram. Hata hivyo posthiyo haikuweza kukaa kwa muda mrefu – imefutwa, japo wapo waliowahi kuinasa mapema. Kwenye post hiyo iliyokuwa na picha ya Harmonize pamoja na emoji za alama ya kopa iliyopasuka, Wolper ameandika: Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na […]

Read More..