-->

Daily Archives: January 14, 2017

‘Latifa Mwehu’ Kuingia sokoni Jumatatu

Post Image

Latifa Mwehu ni filamu inayowakutanisha wakali wa Bongo Movie, Aunt Ezekei, Stanley Nsungu, Swebe,Tea,Maya na Haji Adam itakayoingia sokoni jumatatu ya wiki ijayo. Sikuwahi kuwaza hata siku moja kama maisha yatakuja nibadilikia hivi,Nilijua kuoa ndio nia ya kuondoa maovu niliyopiti kumbe ndio kwanza nilimfungulia shetani njia ya kunishawishi zaidi .Pole sana mke wangu maana sikuwahi kuwa […]

Read More..

Joti: Nakuja Kidigitali Zaidi

Post Image

UKUMUANGALIA tu lazima ucheke kwani ni kipaji na sio ngekewa, amefanikiwa kuteka watoto, vijana, watu wazima na wazee hiyo yote ni kutokana na kuigiza nyanja zote tena bila wasiwasi wowote ule, Lucas Mhavile maarufu Joti alitamba na Original Comedy kundi ambalo lilitoa burudani kwa muda wa miaka 11 bila kuwa na mpinzani katika angaza za […]

Read More..

Lulu Afunguka Juu ya Alikiba na Ommy Dimpoz

Post Image

Msanii wa filamu nchini Lulu Michael ambaye wiki hii alikuwa akitangaza kipindi cha ‘NgazKwaNgaz’ alifunguka na kuweka wazi kuwa msanii Ommy Dimpoz na Alikiba ni watu ambao wamekuwa wakifanya vizuri kila wanapokutana. Lulu Michael alidai kuwa wakali hao wa bongo fleva wamekuwa wakifanya vyema kila walipokutana na kutengeneza kazi nzuri ambazo zinapendwa na watu.   […]

Read More..

Martin Kadinda: Wema Amebadilika Hadi Raha

Post Image

ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake. Akizungumza na MTANZANIA jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa. “Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri […]

Read More..

Ray Ashangaa Chuchu Kujifungua!

Post Image

KITUKO! Wakati pongezi za kufa mtu zikielekezwa kwa muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ kupata mtoto wa kiume kwa mchumba’ke, Chuchu Hans, muigizaji huyo ameibuka na kushangaa watu wanaoeneza habari za kujifungua kwa Chuchu wakati si kweli kama amejifungua. Ray alitoa kioja hicho Alhamisi iliyopita wakati akizungumza na Risasi Jumamosi baada ya kupigiwa simu ili kumpongeza kwa […]

Read More..