-->

Daily Archives: January 9, 2017

Jay Moe: Wasanii Wanaokula ‘Unga̵...

Post Image

Msanii wa hip hop nchini Tanzania Jay Moe au wengine wanapenda kumuita kwa jina la mzee wa pesa madafu amekutana na camera ya eNewz na amezungumzia kuhusu swala la madawa ya kulevya ambalo limekuwa gumzo katika siku za karibuni. Gumzo hilo limekuwa kubwa hasa baada ya picha za aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa kuonekana naye […]

Read More..

Katibu wa Bodi ya Filamu Bi. Fissoo Amtembe...

Post Image

KATIBU wa bodi ya filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo amemtembelea muandishi wa muswada mwenye kipaji cha ajabu Wankota Kapunda nyumbani kwao Mbezi kwa ajili ya kumtakia heri ya mwaka mpya na kubadilishana naye mawazo kufuatia maandalizi ya utayarishaji wa filamu na tamthilia inayoitwa Uaridi. “Mwaka mpya umeanza ni vema kuwaona wadau wetu na pia nimekuja […]

Read More..

Rich Mavoko: Niko Tayari Kufanya Kolabo na ...

Post Image

LEBO ya Wasafi Classic Baby (WCB) licha ya kukusanya vichwa vya wasanii wakali lakini nyota ya Richard Martin ‘Rich Mavoko’, imeendelea kung’ara ambapo kwa sasa anamake ‘headline’ kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kutokana na ngoma yake ya Kokoro aliyomshirikisha bosi wake, Diamond Platinumz. Ingawa ni miezi kadhaa tu tangu kuachiwa kwa Koko¬ro, […]

Read More..

Q Chief Amwagia Sifa Hizi Mpenzi Wake

Post Image

Msanii wa muziki Q Chief ameshindwa kuzuia hisia zake mtandaoni na kuamua kumwagia misifa mpenzi wake. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Sungura, amedai mwanamke hiyo ni mwanamke wa pekee kutokana na uvumilivu wake. “Soon tunatimiza miaka miwili katika uhusiano wetu umekuwa mvumilivu mwenye hekima ni wanawake wachache sana dunia hii wenye moyo wa […]

Read More..

Baba Haji Afungukia Swala la Rushwa ya Ngon...

Post Image

Msanii wa filamu nchini, Haji Adam a.k.a Baba Haji amekiri rushwa ya ngono kukithiri katika tasnia ya filamu nchini huku akiweka wazi kuwa kwa upande wake hajawahi kuomba wala kukubali rushwa hiyo kwa hofu ya maradhi. Msanii wa filamu nchini, Haji Adam a.k.a Baba Haji amekiri rushwa ya ngono kukithiri katika tasnia ya filamu nchini […]

Read More..