-->

Daily Archives: January 13, 2017

Sababu za Weusi Kuficha Wapenzi Wao Yafichu...

Post Image

Rapa Nikki wa Pili kutoka katika kundi la Weusi amefunguka na kuweka wazi sababu ambazo zinawafanya wao kama Weusi kutoweka wazi maisha yao binafsi ikiwepo maisha ya mapenzi na maisha ya kawaida ya kila siku Akionge kwenye kipindi cha Planet Bongo Nikki wa Pili amesema wamekuwa wakificha maisha yao binafsi kwa sababu hawahitaji familia zao […]

Read More..

Gabo Aushukia Mtandao Huu wa Kenya

Post Image

Muigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu, Gabo Zigamba ameujia juu mtandao mmoja wa Kenya ambao umedai kuwa yeye ni raia wa Kenya. Muigizaji huyo baada ya kuona taarifa hiyo, kupitia instagram aliandika: Kinachoweza kuondoa makucha haya ya majirani ni film tuu. Film is the best method of propaganda spreading. Na ili tufikie hapo ni […]

Read More..

Lulu Aifungukia Video ya Darassa, Aipa Namb...

Post Image

Msanii wa Filamu nchini Elizabeth Michael ambaye amekuwa msanii wa kwanza kufungua kipindi cha ‘NgazKwaNgaz’ mwaka 2017 ametaja video zake 20 ambazo zilimkosha sana na kumfurahisha mwaka jana. Katika ngoma 20 zilizofunga vizuri mwaka kwa Lulu Michael wimbo wa Darassa ‘Muziki’ ndiyo umekamata nafasi ya kwanza. Lulu anadai kwa mara ya kwanza alipoiona video hiyo […]

Read More..

Matonya Ajigamba Kumbadilisha Gigy Money

Post Image

STAA kitambo kunako Muziki wa Bongo Fleva, Seif Shaban ‘Matonya’ amejitamba kumbadilisha tabia modo mwenye mbwembwe nyingi, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kupitia wimbo wake wa Hakijaeleweka. Akizungumza na Global TV Online kupitia kipindi cha Exclusive, Matonya ambaye aliwahi kuwika pia na vibao kibao kama Teksi Bubu, Vaileth na Anita alisema kuwa, mashabiki wengi wa Gigy […]

Read More..