-->

Daily Archives: January 3, 2017

Darassa Afunga Mwaka Kwa Kishindo,Diamond B...

Post Image

TUMEZOEA kusikia nyimbo za mapenzi zikipendwa zaidi kuliko zile zenye ujumbe wa masuala mengine muhimu kwa jamii. Mara nyingi ngoma zenye meseji ni zile zinazohusisha mtindo wa kofokafoka yaani Rap. Kwenye historia ya Bongo Fleva, nyimbo za Rap hazikuwahi kuzizidi zile za mapenzi. Ngoma zenye jumbe za mapenzi zinapendwa zaidi sokoni na ndiyo  zinazochezwa zaidi. […]

Read More..

Nay Ataja Tofauti ya Diamond na Alikiba

Post Image

Nay wa Mitego amefunguka na kuweka wazi kuwa katika wanamuziki watatu wakubwa Tanzania wazuri kwake yeye Alikiba atakuwa namba moja ila katika wanamuziki wakubwa watatu wafanyabiashara basi Diamond Platnumz atakuwa namba moja. Nay ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Sijiwezi’, amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo cha EATV na kusema siku zote yeye amekuwa […]

Read More..

Mimi Mpinzani Halisi Wa Gabo Katika ‘Game...

Post Image

MWIGIZAJI chipukizi anayetamba na filamu ya Ngoma ya Roho na tamthilia ya Buriani Angel Maige Alex Mgeta ‘Faita’ ametamba kuwa kwa sasa yeye anamini kuwa ndiye mpinzani wa kweli wa mwigizaji bora katika tasnia ya filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ kwani ana uwezo mkubwa wa kuvaa uhusika na kubadilika kwa kila sinema. “Unajua uigizaji ni mbinu […]

Read More..

Niva Atoboa Ukweli wa ‘Bifu’ La...

Post Image

Msanii wa bongo movie Niva amesema madongo yote waliyokuwa wanatupiana na Nay wa Mitego kwa mwaka 2016 ilikuwa ni ‘bifu’ za kimuziki na mipango ya kibiashara kwa upande wa movie lakini hawana bifu lolote kati yao. Akiongea kupitia eNewz Niva amesema hawajawahi kugombana na wala hawana tatizo lolote na Nay kwa kuwa ni watu ambao wamekuwa sehemu […]

Read More..

Nahitaji Maombi Yenu Wadau – Ben Selengo

Post Image

Msanii wa filamu Ben Selengo baada ya kupata ajali ambaya siku ya sikukuu ya Christmas na kulazwa katika Muhimbili, ameruhusiwa na sasa hivi yupo nyumbani. Muingizaji huyo amedai licha ya kuwa ameruhusiwa kutoka hospital lakini bado afya yake haijakaa sawa na anahitaji maombi. “Bado nahitaji maombi yenu wadau,” aliandika Ben Instagram “nimetoka Muhimbili nipo home […]

Read More..