-->

Daily Archives: January 11, 2017

Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba,...

Post Image

DAR ES SALAAM: Wakati ikiwa inakaribia miaka mitano tangu  Aprili 7, 2012, ambapo aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, alipoaga dunia, mama yake mzazi Bi. Flora Mtegoa ametembelea kaburini kwa marehemu mwanaye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake akiwa ameambatana na kijana aliyemuanika kuwa ndiye mrithi wa muigizaji huyo nambari one nchini. Katika makaburi […]

Read More..

Diamond Akabidhiwa Bendera Kuiwakilisha Tan...

Post Image

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye leo January 14 2016 amemkabidhi nyota wa Afro Pop, Diamond Platnumz bendera ya Taifa ili kuiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye ufunguzi rasmi wa mashindano ya Africa Cup of Nation (AFCON) yanayotarajiwa kuanza nchini Garbon hivi karibuni. Hafla hiyo fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli […]

Read More..

Ukweli wa Nuh na Shilole Mwanza, Huu Hapa

Post Image

Msanii Nuh Mziwanda ambaye bado anafanya vyema na wimbo wake ‘Jike shupa’ amekanusha tetesi za yeye kuwa pamoja na mpenzi wake wa zamani Shilole jijini Mwanza siku mbili hizi. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, Nuh Mziwanda anasema ni kweli alimuona Shilole Mwanza kwenye club ambayo yeye alikuwa anafanya show na aliambiwa kuwa yupo pale […]

Read More..

Rose Muhando Afungukia Kimya Chake na Tuhum...

Post Image

Muimbaji mashughuli wa nyimbo za injili hapa nchini,Rose Muhando amevunja ukimya na kufuka juu ya ukimya wake na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya ‘Unga’. Akiongea na gazeti la mwanaspoti hivi karibuni, Rose anasema, amekuwa kimya kwa sababu mbalimbali lakini anawaambia mashabiki wake yupo na anafanya maandalizi mengine: “Nipo hata hivyo kuna kazi nyingine nimeandaa […]

Read More..

Mzee Majuto Afunguka Kuendelea Kuigiza Mpak...

Post Image

Muigizaji wa filamu za vichekesho nchini Amri Athumani maarufu kama ‘Mzee Majuto’ ambaye mwaka jana aliwahi kutangaza kuacha uigizaji na kumrudia Mungu amefunguka na kusema kuwa ataendelea kuigiza mpaka anakufa kwa sababu uigizaji upo kwenye damu. Akiongea na EATV Mzee Majuto alisema kuwa yeye hawezi kukubali kuona fani inachezewa chezewa na watoto hivyo ataendelea kuigiza mpaka […]

Read More..