-->

Daily Archives: January 22, 2017

Shilole Awafungukia Wanaolalamika Hali Ngum...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Zuhena Mohammed alimaarufu kama Shilole amefunguka na kuwapa neno baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakilalamika juu ya hali ngumu ya maisha huku wengi wao wakiitupia lawama Serikali ya awamu ya tano. Shilole kupitia mtandao wake wa Instgram amesema amewachana baadhi ya vijana hao na kusema wamekuwa wakilalamika kuwa kuna […]

Read More..

Mkwanja Wampeleka Kidoa Bongo Movie

Post Image

MUUZA nyago mwenye figa matata Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema kuwa,  miongoni mwa mabadiliko aliyoyafanya katika mwaka huu wa 2017 ni kujikita kwenye ulimwengu wa filamu kuliko mambo ya kuwa video queen. Akipiga stori na Global Publishers, Kidoa alisema kutokana na mapenzi mazito aliyonayo upande wa maigizo na kugundua kuwa filamu zinalipa kuliko u-video queen, […]

Read More..

Mtoto wa Ray, Jaden Afuata Nyayo za Tiffah ...

Post Image

Tiffah ni mtoto maarufu zaidi kwenye mtandao wa Instagram Afrika akiwa na followers zaidi ya milioni moja. Mdogo wake, Nillan naye anafuata nyayo zake akiwa na followers zaidi ya 99k sasa. Akaunti zao husimamiwa na mama yao, Zari na hutumia Kimombo. Na sasa mtoto mwingine wa mastaa wa Bongo, Jaden naye amejiunga kwenye kundi la […]

Read More..

Madee Amchana ya Nay wa Mitego

Post Image

Msanii wa Bongo fleva kutoka kitaa cha Manzese ambaye ndiye anayetambulika kama Rais wa Manzese, Madee, amemchana mwenzake kutoka kitaa hicho, Nay wa Mitego kwamba hana uwezo wowote kweny muziki. Madee akiwa kwenye kipindi cha FNL cha EATV ambacho huruka LIVE kila Ijumaa Saa 3:00 usiku, aliamua kujibu mashambulizi ya Nay kwa kumrushia makombora mazito […]

Read More..