-->

Daily Archives: January 19, 2017

Video: Gigy Money Anaharibu Brand ya Jacque...

Post Image

  Mtangazaji wa kipindi cha fashion cha Storm kupitia Clouds TV, Lillian Masuka, ana mtazamo tofauti na uchaguzi wa Jacqueline Wolper wa model anayetangaza duka lake jipya la nguo ambaye ni Gigy Money. Tazama video hapo chini kumuangalia akieleza kwanini anaamini hivyo.

Read More..

Mzee Jangala Awaingiza ‘Jandoni’...

Post Image

Mkongwe wa sanaa za maigizo nchini Mzee Jangala amewachana wasanii wa kiume wanaovaa nguo zinazobana, kutoboa masikio na kuonesha maumbile yao. Akiongea kupitia eNewz amesema vijana wanapaswa kujitambua na kuelewa maana ya utandawazi na siyo kuiga mambo mbalimbali ikiwemo kukaa uchi mbele za watu wazima kubadilisha maumbile yao halisi na kudai kuwa wanafuata utandawazi na kupotosha jamii zima. […]

Read More..

Kajala Afungukia Video Chafu Inayodaiwa ya ...

Post Image

Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya Gari. Awali ilisemekana kuwa katika video hiyo binti aliyeonekana ni Paula Paul ambaye ni mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja hali ambayo ilimfanya muigizaji huyo kukanusha uvumi huyo. Muigizaji huyo […]

Read More..

Waziri Nape Akutana na Wasanii wa Bongo Mov...

Post Image

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amekutana na wasanii na wadau wa tasnia ya filamu nchini kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali kuhusu tasnia hiyo. Katika mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar, wasanii na wadau wa filamu wamelalamikia suala la wizi wa kazi zao ikiwemo […]

Read More..