-->

Daily Archives: January 8, 2017

Picha: Maselle “Chapombe” Afunga Ndoa

Post Image

Msanii wa siki nyingi wa vichekesho aliyejipatia umaarufu katika kundi la vituko show kwa style yake ya kuigiza kama mlevi, Chrispine Lyogello “Masele” ameaga ukapela baada ya kufunga pingu za maisha na mchumba wake wa siku nyingi Specioza Malick katika kanisa Katoliki, Bikira Maria Consolata lililopo Mbezi Makabe jijini Dar es salaam. Hizi ni baadhi […]

Read More..

Alikiba Atoa Ratiba ya Tour ya Marekani

Post Image

Muda mfupi baada ya kutangaza tour yake ya Afrika Kusini, itakayoanza mwezi ujao, mkali wa bongo fleva Alikiba, ametangaza ratiba ya tour nyingine ya Marekani. Mkali huyo atatumbuiza katika miji ya Las Vegas, Austin, Houston, Minneapolis na Minnesota. Ziara hizo zitaanza March 4 hadi April.

Read More..

Gigy Money, Lulu Diva, Amber Lulu… Bongo ...

Post Image

MFUMO dume uliminya vipaji vya watoto wa kike kuchanua kwenye Bongo Fleva na kufanya wawe bidhaa adimu licha ya kuwa na uwezo wa kufanya kile wasanii wa kiume wanafanya. Lakini mwaka 2016 tulishuhudia hali hiyo ikitoweka na wasanii wa kike wakiongezeka kwa kasi na wengine wakitoka kwenye tasnia za filamu na utangazaji na kuingia kwenye […]

Read More..

Sikumfukuza Young D – Max Rioba

Post Image

Aliyekuwa mlezi na meneja wa Rapa Young D, Maximilian Rioba amefunguka na kuweka sawa kuwa yeye hakumfukuza Rapa huyo nyumbani kwake bali alimwambia tu aondoke kwani walishindwana kibiashara kutokana na utovu wa nidhamu. Maximilian akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live alisema sababu kubwa iliyompekelea kushindwana kibiashara na Young D ni kutokana na msanii huyo […]

Read More..