-->

Daily Archives: January 31, 2017

Iyobo Anaogopa Kumnunulia Gari Aunt, Kisa M...

Post Image

DANSA maarufu wa Kundi la Wasafi  Classic Baby (WCB), Moses Iyobo amefunguka kuwa kamwe hawezi kumnunulia gari mzazi mwenziye, Aunt Ezekiel kwa kuwa anaogopa atapandisha michepuko yake. Iyobo alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Global Publishers ambapo alisema kwa sasa anajipanga kumnunulia nyumba mpenzi wake huyo lakini siyo gari maana anaweza kuwapandisha […]

Read More..

Simu Yawagombanisha Vanessa na Jux

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Vanessa Mdee amefunguka na kuweka wazi kuwa mara nyingi huwa wanagombana na mpenzi wake huyo Jux kutokana na tabia yake ya kuchelewa kujibu jumbe fupi au hata kupokea simu zake. Vanessa Mdee alisema haya kwenye kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana EATV na […]

Read More..

Gigy Apania Kuokoka

Post Image

MUUZA sura kwenye video za Bongo Fleva ambaye pia ni mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Choice FM, Gift Stanfod ‘Gigy Money’ hivi karibuni amefunguka kuwa, katika maisha yake, ipo siku ataachana na mambo yote yasiyompendaza Mungu kisha kumtumikia muumba wake. Akipiga stori mbili tatu na Global Publishers, Gigy aliweka wazi kuwa, katika maisha ya […]

Read More..

Shamsa Ford Atoa Ushauri Huu kwa Vijana

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini Shamsa Ford ametoa ushauri kwa Watanzania hususani vijana ambao hupata kidogo na kushindwa kujipanga na maisha ya kile kidogo wakipatacho na kusema siku zote unapaswa kuthamini kile ulichonacho leo ili kuwa na kesho nzuri. Shamsa Ford ametumia ukurasa wake wa Instagram kutoa ujumbe huo kwa vijana na kuwaasa kutodharau kabisaa kidogo […]

Read More..