-->

Daily Archives: January 10, 2017

Pacha’ wa Harmonize Aangua Kilio Stejini

Post Image

HARMORAPA, msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka WCB, Harmonize kiasi cha kubatizwa jina la ‘Pacha wa Harmonize’, juzikati aliangua kilio stejini baada ya kukutana kwa mara nyingine na mkali huyo wa Ngoma za Matatizo, Aiyola na Bado, baada ya kupita muda mrefu bila kuonana. Tukio hilo ‘ameizing’ lilijiri juzikati […]

Read More..

Flora Mbasha Akataa Hadi Jina

Post Image

Msanii wa nyimbo za injili Flora Mbasha amesema swala la mahusiano na mapenzi ni ya watu wawili hivyo hataki kuweka wazi juu ya ishu yake ya kudai talaka. Akiongea kupitia eNEWZ Flora ambaye amesema anataka kuitwa madam Flora kwa sasa kwa kuwa maisha yake anayoyaishi kwa sasa yana amani na furaha hivyo anapendelea kuishi vile apendavyo […]

Read More..

Shilole Aendeleza Urithi wa Mama Yake

Post Image

UNAJUA biashara ya kupika inalipa kiasi gani? Muulize Zuwena Mohammed (Shilole), kwani kitu hicho ndicho kilichomfanya msanii huyo achukue biashara hiyo aliyokuwa akiifanya mama yake. Shilole aliliambia MTANZANIA kwamba, kama wasanii wasichana wangejua faida ya biashara ya chakula wangewekeza huko kwa kuwa inalipa licha ya kudharaulika na baadhi ya watu. “Naipenda biashara hii kwa kuwa […]

Read More..

TigoApp: Pata Huduma Zote za Tigo Kupitia S...

Post Image

Sasa Tigo inakuletea huduma zote za Tigo kupitia simu yako ya mkononi. Tumia hii huduma sasa kurahisisha maisha yako! #TigoApp  

Read More..

TRA Yatoa Elimu ya Kodi kwa Wasanii wa Fila...

Post Image

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea na mpango mkakati wake wa kuhakikisha inatoa elimu ya kodi na inamfikia kila mdau ili kuwajengea uelewa wa masuala ya kodi na uhiyari wa kuilipa. Hivi karibuni mamlaka hiyo ilikutana na wasanii mbalimbali wa maigizo na muziki ili kuwafundisha kuhusu masuala mbalimbali ya kodi pamoja na umuhimu wa kulip […]

Read More..