-->

Daily Archives: January 30, 2017

Aunt Ezekiel Afungukia Matendo Machafu ya W...

Post Image

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja Aunt Ezekel amedai matendo machafu ya wasanii wa filamu ni moja kati ya vitu ambavyo zimechangia kushuka kwa soko la filamu nchini. Muigizaji huyo ambaye kwa sasa yuko kwenye mahusiano ya kudumu na dansa wa WCB, Mose Iyobo amedai wasanii wengi wa filamu wameendekeza starehe kuliko kasi. […]

Read More..

Linah Amtaja Anayemnyima Usingizi

Post Image

Msanii Linah Sanga amefunguka na kuwataja wasanii ambao wanamyima usingizi na kusema hao ndiyo washindani wake kwenye muziki wa bongo fleva kwa sasa. Linah Sanga alisema hayo kupitia kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ na kudai kuwa licha ya muziki wa bongo fleva kuwa na idadi kubwa ya wasanii wa kike sasa tofauti na ilivyokuwa kipindi […]

Read More..