-->

Daily Archives: February 22, 2017

Jide Ataka Kulinda Heshima

Post Image

MKONGWE wa Muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee, amesema uzinduzi wa albamu yake ya saba unalenga katika kulinda heshima yake katika sanaa alikodumu kwa miaka 16 sasa. Albamu hiyo, Woman itazinduliwa mwezi ujao katika eneo ambalo bado halijatajwa na itahusisha baadhi ya nyimbo zake zinazovuma hivi sasa kama Ndindindi, Together na […]

Read More..

Dawa za Kulevya Zimewashusha Wasanii- Izzo ...

Post Image

RAPA Izzo Bizness, anayetamba na wimbo wa ‘Umeniweza’, ameweka wazi kwamba dawa za kulevya ndizo zilizoshusha viwango vya baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini. Izzo alidai hataki kuingia ndani zaidi katika masuala hayo, lakini anaamini wasanii wengi wa muziki huo wameshuka viwango vyao vya kuimba na kutunga kutokana na matumizi ya dawa […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Upelelezi Haujakamilika...

Post Image

Malkia wa filamu Wema Sepetu Jumatano hii alirudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya. Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa mashtaka kusema upelelezi haujakamilika hivyo kesi hiyo imepangwa kusikilizwa 15 March 2017. Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa […]

Read More..

VIDEO: Ray C Akumbana na ‘Majanga’ Mengine

Post Image

Msanii wa bongo fleva Ray C amefukuzwa kwenye lebo ya wanene Enterteiment baada ya kauli ya yake aliyodai  kwamba hajasaini na lebo yeyote. Akionge kupitia eNewz ya EATV, Maneja wa Wanene Enteriment Gentris amesema kuwa Ray C alikuwa kwenye hatua za mwisho kuweza kusajiliwa katika lebo ya Wanene ila alikosea baada ya kupewa demo ya nyimbo yake […]

Read More..

TCRA Yazungumzia Jinsi ya Kuhama Mtandao wa...

Post Image

Dar es Salaam.Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano (TCRA) imezindua mpango wa elimu kwa umma kuhusu hudumu ya kuhama mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP). Akizindua mpango huo leo Jumatano asubuhi, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema lengo ni kuwapa uhuru wateja kutumia mtandao bora zaidi, […]

Read More..

Fid Q Afungukia Kupiga Chini Gemu

Post Image

MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’ hivi karibuni amefunguka kuwa yeye si wa kuacha muziki leo wala kesho maana muziki ni sehemu ya maisha yake na ataufanya mpaka pale Mungu mwenyewe atakapoamua kuwa aachane nao. Akichonga na Uwazi baada ya kuuliza juu ya kuachana na muziki siku […]

Read More..

VIDEO:Mzee wa Upako Achumbua Wimbo wa ̵...

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameichambua ngoma wa msanii wa bongo fleva, Darassa inayokwenda kwa jina la Muziki, na kusema kuwa msanii huyo ameimba vitu vya maana sana kwenye ngoma hiyo. Mchungaji Lusekelo ambaye amewahi kunukuliwa akitumia maneno ya wimbo huo na nyingine kadhaa za bongo fleva katika mahubiri […]

Read More..

Ostazi Juma na Musoma Anajifunza Nini Kwa F...

Post Image

KUNA watu wamepata umaarufu katika namna ya kuchekesha kidogo. Unamkumbuka yule aliyejiita Mganga wa Diamond? Katika namna isiyotarajiwa, eti ghafla na yeye akawa maarufu tena maarufu sana. Kila eneo akasifika. Kuanzia kwenye blog, magazeti hata katika baadhi ya vipindi vya televisheni akawa anatajwa kila wakati. Ila sasa yuko wapi? Yale maneno na ahadi alizotoa juu […]

Read More..