-->

Daily Archives: February 28, 2017

Irene Uwoya Awafungukia Wasanii Wanaodai Ku...

Post Image

Irene Uwoya ni moja kati ya wasanii wa bongo movies walioshiriki kwenye kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 akiwa kama kada wa chama cha mapinduzi. kufatia kile kinachoendelea hivi sasa kuhusu madai ya baadhi ya wasanii kudai na wengine kutangaza kulipwa wakati wanaifanya kazi ile ya kukipigia debe chama cha mapinduzi,Irene Uwoya amefunguka haya kupitia […]

Read More..

Wema Sepetu Amfungukia Batuli

Post Image

Ni baada ya Batuli kuongea na waandishi wa habari na kukanusha madai ya kuwa wasanii wa kundi la ‘Mama ongea na mwanao’ lililoshikirika kwenye kampeni za mwaka 2015,wanakidai chama cha mapinduzi. Kupitia mtandao wa Instagram, Wema Sepetu ameweka picha ya rafiki yake huyo wa zamani na kuandika ujumbe ambao umeashiria kuwa urafiki wao ndio basi […]

Read More..

Zitto Alia na Serikali Ugumu wa Maisha

Post Image

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe amefunguka na kuililia serikali juu ya ukali wa maisha nchini kufuatia gharama za maisha kupanda. Mhe. Zitto Kabwe ameitaka serikali ifanye juhudi na jitihada kupunguza au kumaliza kabisa ukali wa maisha kwa wananchi kwani “Mtwara unga wa ugali ( sembe) Sasa tshs 2000 […]

Read More..

Rais wa Shirikisho la Filamu Afungukia Ishu...

Post Image

RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba amesema kuwa mikataba na makubaliano ya kuwapigia debe wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 hayakuhusisha shirikisho hilo na yeye kama rais wa shirikisho hana taarifa hizo. “Ninachokifahamu ni kwamba, kila msanii alikuwa na mkataba wake binafsi hivyo shirikisho lisingeweza kumzuia msanii kujihusisha […]

Read More..

Baraka Amtaja Mfalme wa Hip Hop Bongo

Post Image

Msanii Baraka The Prince amefunguka na kusema rapa Lord Eyes kutoka Weusi ambaye pia ni msanii aliye chini ya usimamizi wake ndiye mfalme wa hip hop Bongo. Baraka The Prince amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya EATV na kusema wasanii ambao wana ‘diss’ yeye kumsimamia Lord Eyes katika kazi zake ni wale ambao wanaogopa […]

Read More..

Batuli Akanusha Madai ya Wema Sepetu Kuidai...

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini, Yobnesh Yussuf maarufu kama Batuli amekanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipa pesa za kampeni ya Mama Ongea na Mwanao kwenye uchaguzi wa mwaka 2015. Akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ akiwa na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’,amesema madai aliyoyatoa Wema Sepetu hayana ukweli wowote […]

Read More..

Ally Kiba, Diamond Kuibeba Serengeti Boys

Post Image

Dar es Salaam. Wanamuziki Ally Kiba na Diamond Platnumz ni miongoni wa wajumbe wa kamati ya watu 10 wa kusaidia maandalizi ya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ Akitangaza kamati hiyo inayoundwa na wanahabari, viongozi wa kampuni na wasanii Waziri wa Habari, Utamaduni Sana’a na Michezo Nape Nnauye amesema jukumu kubwa la […]

Read More..