-->

Daily Archives: April 19, 2017

Shamsa Ford Apata Majanga, Apigwa Ngumi

Post Image

STAA wa kutoka kiwanda cha filamu cha Bongo Muvi, Shamsa Ford amepata jeraha la maisha baada ya kupigwa ngumi na jamaa ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa alitupia picha iliyomuonyesha akiwa na jeraha usoni na kuandika ujumbe kwa mashabiki zake kuwa alipigwa akiwa anagombelezea ugomvi. Shamsa amefunguka kuwa tukio limetokea […]

Read More..

Bongo Movie Trailer-Yai Viza (24/04/2017)

Post Image

Kutoka STEPS ENTERTAINMENT LTD , Filamu ya Yai viza inatoka 24.04.2017 usikubali kukosa Kabisa kutana na @philimonlutwaza @jacquelinemateru @leonsambala na wengine wengi usikose

Read More..

Harmorapa: Simjui Master J

Post Image

Ni kweli nilichokisikia au ninaota? Eti Harmorapa hamfahamu Master J? Rapper huyo ameonekana kuwashangaza mashabiki Jumatano hii wakati alipokuwa katika kipindi cha Kikaangoni cha EATV kuwa hamfahamu mtayarishaji huyo mkongwe wa muziki nchini. “Master J mbona simjui? Sidhani kama ni producer maana hakuna ngoma yake yoyote inayohit ambayo mimi naijua,” amesema Harmo. Hitmaker huyo wa […]

Read More..

Siwezi kugombana na Chege – Juma Nature

Post Image

Msanii mkongwe nchini Tanzania, Juma Nature maarufu kama ‘Kiroboto’ amefunguka na kusema hajawahi kugombana na msanii mwenzake Chege Chigunda kama watu wanavyofikiri kuwa mwanamke ndiyo amewafanya washindwe hata kusalimiana wawili hao. Nature amebainisha hayo baada ya kuenea tetesi za kipindi kirefu zilikuwa zinawaaminisha watu kuwa mke aliyemuoa msanii huyo ndiye alikuwa mpenzi wa Chege hapo awali mpaka […]

Read More..

VIDEO: Steve Nyerere Afungukia Kutounga Mko...

Post Image

KUFUATIA maandamano ya wasanii wa Filamu nchini, Bongo Movie, ambao wameandamana leo katika mtaa wa Aggrey Kariakoo  wakipinga uingizwaji wa filamu za nje na urudufishwaji wa filamu za ndani huku wakiwataka wamachinga wanaouza filamu hizo waache mara moja, msanii wa tasnia hiyo Steve Mengele Nyerere amefunguka kuhusu kutoonekana kwenye tukio hilo. Akifanya mazungumzo Global TV […]

Read More..

Wasanii wa Bongo Muvi Waandamana Kariakoo D...

Post Image

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akishirikiana na Wizara ya Habari pamoja na wasanii wa filamu wameendesha operesheni maalum katika mitaa ya Kariakoo Jijini Dar es salaam kwa dhumuni la kupambana na wazalishaji wa CD ‘feki’ za filamu kutoka nje ya nchi. Hatua hiyo imekuja baada ya wasanii wa filamu nchini kumtembelea […]

Read More..

Tunda Afungukia Picha Tata Zilivyomkosesha ...

Post Image

Video queen Tunda amefunguka kuwa picha zilizowahi kuvuja mitandaoni akiwa kitandani na msanii Stan Bakora zilikuwa ni sehemu ya filamu na zilifanya familia yake kuingilia kati na kumkataza kuigiza filamu hiyo ambayo ilikuwa katika maandalizi. Tunda amevujisha siri hiyo kupitia eNewz ya EATV na kudai kuwa picha hizo zilizomuonesha akiwa kitandani kwenye pozi zenye utata […]

Read More..