Mdukuzi Amenirudisha Sana Nyuma- Ray C
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila ‘Ray C’ amedai kumfunga mwizi aliyedukua (hack) ukurasa wake wa Instagram uliokuwa na wafuasi zaidi ya laki tano na kusema kwamba hataweza kuvumilia wezi kuendelea kuwepo mitaani. Ray C amefunguka hayo siku chache zilizopita alipokuwepo kwenye Heshima ya Bongo fleva kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa kupitia […]
Read More..





